Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehe....the last time Nigeria and south Africa represented Africa in world cup walikula mabao kama 30 added together.....of course tanzania is just passing time hakuna mahali wanaenda.....kama kuna kitu Tanzania haijui ni sports.....lol.wanaweza tu shinda bonanza na useless tournaments but vitu kama African cup ama Olympics ni mungu saidia
Hebu leta picha ya Harambee queens!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani magufuli amewabana vibaya sana hawa jamaa hawana namna kabisa😁😁😁😁
 
Wapi wakonmbozi wa Africa Yani Dona kantri?
 
Hawa wameweka maneno bila matendo Yani picha ziko wapi za barabara wanazozungumzia? Hebu weka zako tupate kuahakikisga ni kweli.
Tatizo wewe pamoja na wakenya wenzako mnapenda kuficha vichwa vyenu kwenye mchanga na kujidanganya kuwa mko first class kumbe hakuna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…