Siku hzi hawazungumzii kuhusu SGR toka ilipoishia misituni ππππ imeshageuka kua white elephantIla Wakenya wa JF bana, kuna kipindi flan last year walikua wanashangilia Tunnels za SGR yao ya to nowhere humu ndani, kuanzia zinaanza kuchorongwa mpaka zimekamilika tena na wachina wakafanya na party kabisa
Zililetwa picha za phase 2 hapa maandishi ya kichina kila pembe ya tunnel
Leo wanaleta Wabongo mnaanza kulia kulia....
Sent using Jamii Forums mobile app
its over 25% inaelekea 30%!Mbona huulizii phase two iko over 20% now umeona raha ya kujenga two phases kwa pamojaππππ
Fananisha manzese na makuru kayabaππππ nyie munafkiri mzungu mjinga sana
View attachment 1373056
Picha on ground huzitakiππππππ
Kibera unaeza kuta hiiππππππ
Unahesabu floors kumbe hii imekushinda[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1371924
Kibera unaeza kuta hii[emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1373070
Kibera unaeza kuta hii[emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1373070
High rise buildings in Nairobi View attachment 1373022View attachment 1373023
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaaibisha wenzio [emoji3][emoji3]Thanks bro in fact nitapitia video zote nikiweka screenshot za slums of Dar
View attachment 1373034
Kariakoo sioππππππPosta,kariokoo and upanga= WestlandsView attachment 1373104View attachment 1373105
Sent using Jamii Forums mobile app
ππ€£πππ spati picha wtakavyotumbua machoNdo vifaa vinaingia bandarini nini? Maana sio kwa hii teaser. Wakenya jiandaeni kujamba cheche. Hatasalia nyumbu humu yaani tutapost kama tumetumwa
Shule ulikwenda wewe hesabu sasaπ€£π€£π€£π€£
Itakuwa media ya kenya hyo hehehehee eti Dar watu million 4, yn statistics ya Tz imewekwa ya miaka iliyopita af ya nchi nyingine zimewekwa mpya [emoji3][emoji3]chuki mby sana kwakweliView attachment 1373148
Dooh Tangu lini Nairobi kuizidi Dar population hihihiiiii mbavu zangu
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Dar iacheni tu [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]View attachment 1373168