Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

je huko dar kuna even a six lane highway,na je si unitumie any major interchange kwenye huo mji?
punguza hasira kaka wenzako walikubali toka jana wakakimbiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Dar mna nini kama sio those three dwarf towers.....kumbuka kichapo halisi cha Avic ,Montave na baba yao Hass pinnacle kimo njiani chaja nyweeeeeeee
 
Dar mna nini kama sio those three dwarf towers.....kumbuka kichapo halisi cha Avic ,Montave na baba yao Hass pinnacle kimo njiani chaja nyweeeeeeee
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ safari hatuachii kushika makende....hakuna sifa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…