Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe Ondoa funza kichwani ndio maana nakwambia JKIA westland expressway bado ni render yani hua unabisha mambo ya upuuzi sana
Pipeline imeanza pande gani Tz na picha za kibao ya kuonyesha mkandarasi ziko wapi?
 
Pipeline imeanza pande gani Tz na picha za kibao ya kuonyesha mkandarasi ziko wapi?
Kwan we ukichimba kisima cha maji mita 50 kutoka kwenye nyumba yako bomba unaanza kuunganisha wapi kwanza ???? 🀣🀣🀣🀣
 
Kwan we ukichimba kisima cha maji mita 50 kutoka kwenye nyumba yako bomba unaanza kuunganisha wapi kwanza ???? 🀣🀣🀣🀣
Kwa nyumba Kwanza. Sasa onyesha picha za mitaro ya Bomba la mafuta humo Tz na uelezee ni pande gani ya Tz.
 
Kwa nyumba Kwanza. Sasa onyesha picha za mitaro ya Bomba la mafuta humo Tz na uelezee ni pande gani ya Tz.
Umeona vile sindano zimekuingia vyemaπŸ€£πŸ€£πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Yani hii nchi maskini atabaki maskini na tajiri atabaki tajiri πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…