Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo hiyo picha nimekuletea si ya kenya? Ni ya Tanzania? Are you the same person who ignorantly said that's Nairobi-Nakuru highway?
Leta ushahidi wowote wa kiserekali Kia kenya inajenga BRT bro hakuna mjinga humu ndani never ever๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Kibera in real sense is very small. NGOs and white propagandists use it to gain sympathy funds from the west.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani watanzania kama Nicxie atanionesha signboard yoyote Kenya wakijenga BRT mm nafunga account jamii forum naombeni Nile kiapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alishafeli kilichobaki kakimbilia kwenye story za lipstick.......
Bila shaka atakuwa ni mrembo flan ivi anayeshinda sana vijiwe vya saloon.....kwa kutokuwa na kazi ya kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama inajengwa kwa pesa za kenyatta ni sawa signboard kutokuwepo. time will tell the truth!

afu juzijuzi tu si ulisema nyie hamna haja ya BRT? vip leo unatetea kuwa inajengwa?
Wakenya ni vibaraka Siku zote na kazi za vibaraka siku zote ni hufuata upepo vigeugeu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka mamlaka nchini kenya zilipeleka wanajeshi na silahakukabiliana na Nzige [emoji3][emoji3][emoji3]
Basi wakawa wanawaua kwa risasi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaahh....wakaacha shughuli za kupambana na alshabab....wakaingiza vita kwa nzige....


Hiyo inaitwa wiknessing of lazy army..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama inajengwa kwa pesa za kenyatta ni sawa signboard kutokuwepo. time will tell the truth!

afu juzijuzi tu si ulisema nyie hamna haja ya BRT? vip leo unatetea kuwa inajengwa?
Screenshot hiyo sehemu nilisema we don't need brt. What I said jana is that we didnt need at the time Thika road was being built. Is that the same with what you are saying here?
 
[emoji3][emoji3][emoji3] mbn nilijua atanionesha hii, ile kitu ya ubungo hailipiki kirahisi mzee, inaytwa floor over floor, hii vocabulary ndo ckuwa nayo.
WTF is Floor over floor? Kumbe ni vocabulary hapo bongo!.๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚. It's called three level interchange. Tutawaelimisha hadi lini?
 
The question you should be answering is this: Were you aware that lipstick kupakwa kwa barabara is a normal thing? Hizi povu zote labda ufue nazo nguo
 
Is it a lie that TPA was designed by a Kenyan company? Always denying even obvious things!

So hapo kuna neno lie? Duh , majamaa mnapenda kurukia conclusion na kupeleka mambo mnavyotaka nyinyi.
Tunajua kwamba ni Kenyan company imesdeiagn lakini mnaongea utafikiri mlituhurumia na kutufanyia bure.๐Ÿคฃ


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Denial as usual, no wonder!
So umekubali inejengwa ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
The source of the funds is not important. Tuko na uwezo wa kulipa. Sisi sio kama nyinyi mnasamehewa madeni after mmeshindwa kulipa. Hata Thika road was partly funded by African Developmet Bank
 
Screenshot hiyo sehemu nilisema we don't need brt. What I said jana is that we didnt need at the time Thika road was being built. Is that the same with what you are saying here?
Usitudanganye sasa kama munajenga BRT kwann munadanganya mchana kweupe au munafkiri hapa ni nairaland ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ