Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Only you forgot to mention that with these wet dream analysis of yours.....you are a least developed country. DON'T FORGET THAT STUPID MAN........
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stop this nonesense,why is kibera growing at the rate of 5% if ur economy is doing any better? We r here when imf GDP projections is out utasikia tumefikia GDP ya 100+ on ground Ni pumba tupu...

Marekani mnaagiza unga wa ngano I thought kenya mko serious kumbe ni mamburula tu...food insecurity itawaoezesha hadi kwa mabwana wasiofaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati mbaya Id hizi hazikuwepo humu Kitambo
Huwezi mdanganya mtu humu
Tunaijua Kenya Hapa hamjadili na wanaigeria
Mnao wadanganya kutwa
 
In 2009 Kibera Sub county population was 170,000 and ten years later it has grown to 185,000. Remember that's constituency.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii report ya mwaka 2012 dar pekee yake ilikua na magari 1M kati ya watu milioni 4 wakati huo. ..
Yani dar inamagari sawa na pop ya wakazi wote wa Mombasa na bado hawa wazembe wanasema thika highway inapitisha magari yaliopo tz ndio mjue hawa mamburula hawana wanachojua....
Najua tukipata taarifa ya mwaka jana yatakua yamezidi pop ya watu wote apo Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…