Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Masaki hua panawaumiza Sana kichwa hawa mamburula

Sent using Jamii Forums mobile app
I know Masaki is the best neighbourhood in Dar ila sio sehemu ya kutaja mbele ya Nairobi's best neighbourhoods. Masaki ni apartments kushoto kulia ni kama tu kileleshwa ama Lavington. Masaki sidhani kama inawezafika hata level ya Loresho ama Kyuna. Take a look at Karen below
 

Attachments

  • images(53).jpg
    43.3 KB · Views: 22
Ipo mikoa wamasai (jamii kubwa) wanaishi inajulikana, miongoni mwao ni Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Pwani

Naongelea utaratibu wa jamii za maeneo hayo kujenga nyumba zao kutokana na rasilimali zilizopo kwenye hayo maeneo

Kwa taarifa yako tu mostly maeneo mengi Tanzania wanajenga Nyumba zao kwa matofali ya kuchoma and to be specific about that pic, imepigwa kwenye hifadhi ya Ngorongoro.
 
Kwa hivyo Tz ni Middle income? Kwa kigezo kipi na wapi ushahidi usio was mdomo?
 
Huyo anataka kubishana na sisi tunaofahamu nyumba za makabila yanayoishi Tz ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hawa ni wamasaai na nyumba zao ni za matofali
 
Masaki & Oysterbay one of the best in Africa, kua na apartment haifanyi kukawa sio bora....hata Beverly hills apartments zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hii ni ID yake ya 3 ikipigwa ban na hajifunzi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Anapenda kutukana watu ovyo na uwongo wa kijinga.
Si mlitudanganya SGR itafunguliwa Novemba mwaka Jana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
 
Tanzania is a sovereign state. People get repatriated everytime to face charges in their mother countries. Why is Tanzania not doing the same for her people? Waletwe Tanzania wafunguliwe mashtaka huko, si eti serikali inyameze and watch from a distance as her people face the hangman's noose in a foreign land. Usitetee upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ