Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kutumia kichwa kubebea meno na mate peke yake. Its good to reason sometimes.
 
Moshi haipo top ten Tz lakini inakimbiza kichaka wanayoita fifth city πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Leta facts and figures wacha kuropokwa tu kishabiki. Moshi inaeza shindia Eldoret nini labda kwa uchawi
 
Leta facts and figures wacha kuropokwa tu kishabiki. Moshi inaeza shindia Eldoret nini labda kwa uchawi
Sasa Eldoret inaishinda moshi kwa kipi😁😁et fact!! fact ipi unayoitaka pitia images hapo nyuma
 
Naona barabara imepita katikati ya miti tu. Eldoret kuna barabara mingi kama hizo.
Ebu nioneshe nyumba ya floor 25+ hapo kijijini moshi?
Basi utakuwa na matatizo ya macho, kama huna rudia kucheki pages hapo nyuma 😎😎
 
Naona barabara imepita katikati ya miti tu. Eldoret kuna barabara mingi kama hizo.
Ebu nioneshe nyumba ya floor 25+ hapo kijijini moshi?
So nyumba moja yenye 25 floors ndio inashinda nn au unataka tuzame kwenye mambo muhimu kama hotels alaf tuone kama utatoka humu ndani😁😁
 
Leta facts and figures wacha kuropokwa tu kishabiki. Moshi inaeza shindia Eldoret nini labda kwa uchawi
Kwanza niletee bus stage ya eldoret hapa nikupe marks😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…