Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji3][emoji3][emoji3] Nimecheka sn wallah
 
Basi mulijisahau sana munatafuta shuka kumekucha ni zile dharau mlikua nazo ndio zimewafkisha hapo😀😀😀😀😀😀
Tulijisahsu kivipi wakati hata hiyo time Westlands haikuwepo? Sisi sio kama nyinyi who get overexcited after building some three blue towers sasa mnajiona mmefika mwisho na ukilinganusha nasi Nairobi. In the last 15 years Nairobi has achieved tremendous growth ila hatupigi kelele kama michiriku zingine ninazojua. In 1999 when Teleposta was being constructed, places like Upperhil didn't even exist. The only notable building in upper hill at that time I think was Rahimtula towers. Residential houses occupied the rest of the area. But look at Upper Hill today! Kweli wazungu walijenga Nairobi! 😂 😂 😂 😂
 
I repeat, ujinga will kill you. Where's the pictures showing the states of Moi avenue road. The Moi avenue I know haina potholes unless kuna Moi avenue ingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe the moi avenue you know 😂😂😂
Hiyo tweet ni ya juzi na huyo aliyepost amepita maeneo hayo pamoja na CBD sasa unapopingana naye wakati yeye ameipita na huku wewe unaijua tu inaonesha dhahiri kuwa unapingana na ukweli.
 
Kumbe the moi avenue you know [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo tweet ni ya juzi na huyo aliyepost amepita maeneo hayo pamoja na CBD sasa unapopingana naye wakati yeye ameipita na huku wewe unaijua tu inaonesha dhahiri kuwa unapingana na ukweli.
My friend I know Nairobi inside out. Maybe huyo jamaa wako hata hajaikanyaga Nairobi. Anyway, where are the pictures?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nataka unionyeshe seat structure ili nione kama hiyo capacity ni kweli kasarani inaweza kuchukua 60000!!!!...we unaleta takataka,hiyo pitch acha tu mkapa stadium,haiwezani hata na azam complex chamazi,jmk park,amani abeid karume stadium...labda uwanja wa uhuru stadium!
 
Wewe potty unapiga kelele.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punctuations please. Make good use of them.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ati wanataka kufananisha Kilimani na takataka kama kijiko na nyama (kijitonyama)

Here is Kilimani.

 

Attachments

  • 0c7322aef15a978f7c3787560a10e76f.jpg
    140.2 KB · Views: 20
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…