Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta stadium yenye capacity more than 60000 ...don't bring us the rubs!!!..wanaume hatujengi vitu za kimaskini,huwa tunajenga big things..leta stadium yoyote africa mashariki inayochukua watu zaidi ya 60000..
 
Kama Rwanda ni poor na wameijenga, then automatically you are super poor.
Mkiweza kujenga stadium yenye capacity zaidi ya 60000 na nchi yote ya kenya itafilisika. .unaleta ujinga ambao hata usd 6 mill haifiki..mshamba weww
 
Ongea tu Kiswahili, "Real love Tanzania" ndio nini wewe?
Kenyans real love Tanzania - [emoji777]
Kenyans really love Tanzania- [emoji3581]
Kama huelewi "kenyans real love"
Utaelewa nini katika maisha yako????..very poor
 
Umejaribu kushorten but you are still making mistakes[emoji23][emoji23][emoji23] Kenyans real love to what? And if it's suppose to remain that short then it should be, " Kenyans' real love" and not "Kenyans real love"
Kenyans real love- [emoji777]
Kenyans' real love-[emoji3581]
Kama huelewi "kenyans real love"
Utaelewa nini katika maisha yako????..very poor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are too lazy to do your research[emoji23][emoji23][emoji23]. For your information, Kasarani soccer stadium is 60,000 in capacity.
Mkiweza kujenga stadium yenye capacity zaidi ya 60000 na nchi yote ya kenya itafilisika. .unaleta ujinga ambao hata usd 6 mill haifiki..mshamba weww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The last moment Vodacom wametumia mabango ya blue ni mwaka 2001,huo ndo mwaka vodacom Tanzania wameacha kutumia rangi ya blue katika brand yao,so hiyo picha ni ya 1999 kurudi nyuma

Mko nyuma yetu 10 years,very sorry!
 
Kama huwezi kuelewa "kenyans real love"...hutakuja kuelewa chochote katika maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…