Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua Aston Villa na Liverpool FC wapo jiji moja na ni mahasimu wakubwa! Hilo ni dongo kwa Liverpool FC! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ‘†

Hapana mzee Liverpool iko Liverpool City, Aston Villa wako Birmingham. Everton ndio jiran wa Liverpool.
 
Ndo walivyo hawa wazalendo mbuzi wa humu ,wak kama wajinga yaani wao kukubali ukweli ni tatizo lakini at the same time wanao jibizana nao huwa kwenye ukweli wanakubali lakini sio akina geza na genge lake,watakutukana wee na kuishia kusema wewe ni mkenya sasa huwa sijali nilishawapuuza
Binafs kwenye jambo zuri natoa credit haijalishi ni Kenya au Tzn labda kwa vile inaitwa battle hutakiwi kukiri penye tatizo ndo sijajua sasa
 
Nina uhakika kuna wazalendo mbuzi wangeita hili jengo la hotel liko kama lecture halls za watu wa masters pale mlimani ila kwa vile liko Tzn ni classic..haaaaaaa
 
Usitujuishe kwenye kapu moja hiyo tabia ni ya watu wa chama kubwa,kwa kila kitu wao ni malaika na hawataki kukosolewa wala ushauri na walisema walishatangaza kwamba wanatamani wakawaongoze malaika mbinguni
 
Unajua Aston Villa na Liverpool FC wapo jiji moja na ni mahasimu wakubwa! Hilo ni dongo kwa Liverpool FC! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ‘†
Kweli usichokijua ni kama usiku wa giza. Afadhali hata ungefanya a simple Google Search kabla ya kujiaibisha hivi. Aston Villa are based in Aston, Birmingham, while Liverpool are based in Liverpool. Hakuna siku Aston Villa wamekuwa masasimu wa Liverpool. Mahasimu wa Liverpool ni Everton (Google Mersyside derby).
 
Nina uhakika kuna wazalendo mbuzi wangeita hili jengo la hotel liko kama lecture halls za watu wa masters pale mlimani ila kwa vile liko Tzn ni classic..haaaaaaa
Kweli ushawajua hawa watanzania wenzako haha haha. Hiyo ingekuwa iko kenya ingeitwa bweni kabisa
 
Unajua Aston Villa na Liverpool FC wapo jiji moja na ni mahasimu wakubwa! Hilo ni dongo kwa Liverpool FC! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ‘†
Hapa Geza hawapo jiji moja, Aston Villa yupoBirmingham na Liverpool yupo Liverpool ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…