Nioneshe barabara yenye 12 lanes Kenya nzima ukipata nitag nasubiria hapa na ukipata mm nafunga account jamii forum trust me[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulizopost wewe ni uchafu gani???
Umeongea kama kondoo ishirini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
One of them in the BushKama Dar ndio hazipo vijijini zitatoka wapi?
Mpo kwenye denial stage,hamtaki kuamini mnachokionaHehe....kumbe every Kenyan knows how weak these nyerere orphans are....hawana ngufu hawana uwezo [emoji1787][emoji1787]View attachment 1324728
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unamjibu mwehu ambae akili yake mbovu inamwambia Dar hakuna nyumba nzuri?! Mtu wa hivyo ni wazi hajawahi kutoka nje ya Kibera
Hio ndio 12 lanes wallah hii ni Vituko vya mwaka ni bara bara gani Kenya ina 12 lanes ukipata tu nitag plz🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ndio 12 lanes 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Barbara gani Kenya ina 12 lanes 🤣🤣🤣🤣🤣 yani ujinga hautaondokaFunga account basi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1324820
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina lanes ngap hebu tujuze 🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 1324821
Thika superhighway
🤣🤣🤣🤣🤣 ni kumuonea huruma tuHivi unamjibu mwehu ambae akili yake mbovu inamwambia Dar hakuna nyumba nzuri?! Mtu wa hivyo ni wazi hajawahi kutoka nje ya Kibera
Hama tu milele urudi uswazi [emoji1787]Funga account basi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1324820
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nambie thika ina lanes ngap🤣🤣🤣🤣🤣
Nioneshe 12 lanes hapo labda uwe hujui maana ya 12 lanes 🤣🤣🤣🤣🤣 ah unahesabu na barabara za michepuko unaita lanes🤣🤣🤣