Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu hilo bodi lake hata first year diploma of mechanics NIT wanaweza kuliunda, kwa nini wasingepewa hizo scraper wakaundia nairobi cause I know they could do it maana wanaunda mabodi ya isuzu tangu siku nyingi. Mchina ana roho mbaya sana
Mngeanza na zile mabasi zenu za brt tulizowatengenezea. Kama akili ya kutengeneza basi ndio huna, ya kutengeneza train utatoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…