Nijibu we nani anampango wakuzika tz aende Nairobi uniljibu😀😀😀😀😀sasa hao wenzako wanaosema Kenya wakafuate nini unawaambia nini? wa tag hii link afu mumalizane huko anza na Icho kauliza nani ana mpango na Nairobi karne hii?
mimi hapa,another question?Nijibu we nani anampango wakuzika tz aende Nairobi uniljibu😀😀😀😀😀
Ahahah yani umenichekesha sana juzi ulienda kisumu kwenye harus pale border namanga gari za Kenya zinazo kuja tz hazihesabiki yani kuna folen balaa lakini kwenda Kenya huchukui hata dakika 10mimi hapa,another question?
Heheh yani ww hua nikisoma comment zako hua nachoka sana hvi ni nani sasa hvi anampango na Nairobi kwa lipi haswa hebu nijuze mm😀😀😀
Usinichoshe ngoja nitafute pesa ntakuja kutoa maelezo yanayofaaAhahah yani umenichekesha sana juzi ulienda kisumu kwenye harus pale border namanga gari za Kenya zinazo kuja tz hazihesabiki yani kuna folen balaa lakini kwenda Kenya huchukui hata dakika 10
Unajua huyo jamaa hua ajifanya mjuaji sana alaf anahisi kila kitu anakijua yeye alaf anakwambia hana pesa sasa ww huna pesa nguvu ya kuongea upuuzi unaitoa wapi😀😀😀😀😀Nairobi ipi? Ya Al Shabaab?
Uahhaha nilitaka kukushauri hvo hvo kua badala kupoteza nguvu kuongea upupu ni Bora utafute pesa kwanza😀😀😀😀😀Usinichoshe ngoja nitafute pesa ntakuja kutoa maelezo yanayofaa
Hii nilisema mm ni big white elephant 😀😀😀😀 wazee wa lapset mwenzao Ethiopia mjanja sana aliyaona hays kaamua kuzama djibout kawekeza billions of moneyNairobi ipi? Ya Al Shabaab?
Akiwa kwenye hili jukwaa kazi yake huwa ni kuponda tu 😂😂😂 kwenye majukwaa mengine huwa tabia ya kuponda sijui huwa anaipeleka wapi.Uahhaha nilitaka kukushauri hvo hvo kua badala kupoteza nguvu kuongea upupu ni Bora utafute pesa kwanza😀😀😀😀😀
Ni mjinga fulani hvi yani nimecheka kweli 😀😀😀Akiwa kwenye hili jukwaa kazi yake huwa ni kuponda tu 😂😂😂 kwenye majukwaa mengine huwa tabia ya kuponda sijui huwa anaipeleka wapi.
Ukweli ni kwamba pesa hakuna,kila mwana EAC nje ya Kenya ukimuuliza unataka usafiri mji gani definately atakwambia Nairobi au Addis coz kuna vitu vya kwenda ku explore ukiacha mambo ya wanyama/nature kwa Tzn
Mtu kama mimi napenda utalii wa maendeleo sio wa nature sijui kuangalia nyumbu au kucheza bich no
Lazima ufanye wealth distribution kwa style hyo km c hvyo hayo maeneo mengine hayataendelea kamwe km tuking'ang'ana na maeneo flani flanihuo ndo ukweli unaanzaje kujenga complex kama ya mabibo around uswahili kama vile,hayo ni matumizi mabaya ya akili
Hata siku moja akili ndogo haiwezi kuelewa yanayofanywa na akili kubwa, " That is the principle of nature". Kumuelewesha chizi utajipa kazi(Darassa)Sijawahi kubaliana na aina ya miradi ya serikali ya ccm maana mingi ni miradi ya show off na kujitutumua ambayo kimsingi itasababisha hali ya maisha ya watzn kuwa ngumu kuliko kuwasaidia
Haiingii akilini kuhangaika na midege,sgr,sijui umeme wa matrioni wakati hata mgwatt 1360 za sasa zina soma surplus,hizo zingine zote za kazi gani? Madaraja ya kuvuka maziwa na bahari ya kazi gani? Hivi tunavyoongea barabara ni kero kubwa sana kwa nchi,mahospitali na shule usiseme kuna msongamano ni hatari yaani serikali inachojigamba ni kitu kidogo sana ukilinganisha na mahitaji halisi na kasi ya kuzaliana.
Juhudi zingeelekezwa kwenye miradi ya msingi ya kumsaidia mwananchi directly yaani kinachotusaidia watzn ni ahueni ya mazingira sio harsh kama Kenya,Ethiopia na nchi zingine za pembe ya Africa vinginevyo tungesaga meno