Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JNHPP $2.9 bln worth of internal funds aside SGR Tanzania progressing

CC: Dxtr
 
This reminds me of a certain thread created by Tuusan talking about a certain vlogger who claimed Lusaka has more malls than Nairobi. Nilicheka sana!
Nilisema Lusaka is a city of malls,najua Lusaka Ni ndogo kwa nairobi au Dar but penye kutoa sifa mm hua sina ubaguzi nasifia tu...
Kingine nilisema wazambia hawajisifu but wanaenda vizuri na hapo ndipo mahali hamkunielewa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakenya huwa ni washamba from the DNA ndio maana utawakuta wanajisifu kwenye vitu vya kijinga

Kuna debate huko tweeter walikua wakijisifu kwamba Kenya ndio kwenye population kubwa ya white settlers, ilibidi nicheke tu.

Lusaka nimeshafika mara nyingi, kule malls sio issue kabisa, kutokana na mfumo wao wa maisha, kuna mpaka malls kubwa special for building materials tu (hardware)
 
Hivi unaelewa kwanini nilipost hizo pic?
Kwa hiyo mnazopost huwa ni Mpya?
naeza post Nairobi in four different angles ya gorofa tu without Britam, GTC, UAP, Prism, KICC, Times Tower. Dar hamna picha ya the most developed places without hizo 3 skyscrapers.
 
naeza post Nairobi in four different angles ya gorofa tu without Britam, GTC, UAP, Prism, KICC, Times Tower. Dar hamna picha ya the most developed places without hizo 3 skyscrapers.
Nilikuuliza, unaelewa kwanini nilipost hizo pic na kumquote aliyepost ile screenshot au kiswahili ni ngumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…