Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona multidimensional poverty imekudhuru akili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania masikini hohe hahe EAC na SADC hilo linadhibitishwa kila mwaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, umepanic sio?, zote hizo ni ripoti za mwaka mmoja. Kubali ninyi ni masikini Sana ndio sababu mnapewa chakula cha msaada

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Hv kwnn Tz isiwe na pesa yake ikaachana na hyo sh. mfano inaweza ikabadili na kuiita dafu na ikawa na alama yake mfano [emoji822] ile ya gamma tufike maala wa Afrika tuondokane na huu ukoloni mamboleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…