Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio kila anaenda mjini hana cha kufanya iyo Ni wewe umesema,lakini nakubaliana na wewe kwamba pop kua kubwa sana sio kitu kizur esp ndani ya mji mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu hujaelewa???..nikueleweshe maana mi ndo kazi yangu

Keep quoting me,because am your choir master..
Of course I don't understand what "dance my flows" is. Is that also mandarin? 😂 😂 😂
 
Yapo mengi sana ila nashuku wamekujia wale omaomba warudishwe makwao
 
Acha kupika data kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siki hzi wakenya wakiisikia dar wanatetema 😀😀😀 yani mambo yamebadilika sana
 
Usinambie alieweka Google earth hakua mwerevu zaidi yako wewe😀😀😀😀

So Google earth inatumia nn ungo ya kenyatta au satellite we mbona unakua mpuuzi sana🤣🤣🤣
 
Britam nusu nyumba nusu mnara lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…