Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaahhaa katika maneno yaliyonifurahisha Leo ni haya.....wanjala are u going crazy my friend??
Maana naona hata hujui unachoongea kaka....pumzika kwa leoπŸ™‚πŸ™‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ha hiyo English aliyoitumia ni very poorness... aisee....too bad[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Kala..... halo ulipo unajifanya unaishi far wakati hauijui far...... ushazoea..... mavumbini......... Karibu Sana Kwenye thread inayohitaji vitendo zsidi na simaneno... tatizo mazoea pole sana
 
Tanzania is where it is because of Kenya, Example, if Kenyans withdraw from this JF! It gets closed!! We run the show here!!!
umejuinga na jf 2016,mimi nipo hapa tangu 2011.kenyaforum ipo active kwa sababu ya bidii ya watz.bila sisi kenya forum inakuwa dormant.hilo linafahamika tangu siku nyingi.

pia topic zenye namba kubwa ya viewers na zinazo endelea ku-trend hapa kenyaforum,ni zile zilizoanzishwa na watz.
moja wapo ya thread hizo ni hii hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

hii thread ilianzisha na mtz anaitwa Annael.
nionyeshe topic iliyoanzishwa na mkenya yenye viewers wengi kushinda hiyo na inayoendelea ku-trend mpaka sasa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

thread nyingi zinazoanzishwa na wakenya huwa hazina mvuto,baada ya siku mbili au tatu,zikishafikisha page nne ,zinapuuzwa.

mfano ni ile thread iliyoanzishwa na mkenya ikizungumzia ugomvi wa wakenya na watanzania kule Twitter.tayari watu wameshaipuza.[emoji23] [emoji23]
 
waambie hao maana wanakazana kwa kujifariji mombasa road mara sijui ngugi road..... wakenya wamejawa unafki pia uzandiki....nyang'au wakenya[emoji15] [emoji15]
 
wakenya hamna reality life.....mnaigjza sana....hayo ndyo maisha yenu
 
kwanza wewe mtanzania wa wapi?????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hayo maoni yako usifkiri wengine tumeyatoa kwenye ndoto tumetembea kote ndio maana tumeona tofaut....nairobi bado sana tena sana kwa dar
 
zile screenshot wakenya "hawapendangi" kuziona.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mm sinilisema toka mwanzo wachina wamewapiga hata muonekano wa train ni wakizamani tu alafu anakuja mtu kujisifu, subiri muone sgr ya kisasa tanzania baada ya 2years, stay calm
 
Ichoboy is disgusted by the pics Wanjala posts... He is picking a fight
where is a fight??? wanjala tatizo lake anaongea sana mpaka anaongea nonsense..anakwambia cars ambazo ziko naironi ni nyingi kuliko tanzania nzima, sasa huyo mtu mzima kweli?????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nakuelewa brathe....hamuezi fikia hizi standards
 
mm sinilisema toka mwanzo wachina wamewapiga hata muonekano wa train ni wakizamani tu alafu anakuja mtu kujisifu, subiri muone sgr ya kisasa tanzania baada ya 2years, stay calm
Hahahahahahaha tz mnachekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…