Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu tutajie hao Mabeberu tuwajue ju hata sisi hatuwajui. Ama Criss kirubi pia ni beberu? Tanzania Mali yao ni ya Wahindi even the richest folks are all Indians.
 
Kenya seem kubwa ni pori yn majengo unahesabu tofauti na kwetu pande km Dar hatuachi maeneo yawe pori eti kwa excuse ya kutunza mazingira kumbe majengo machache cc mapori ya kutosha tunayo but Dar ni seem ya buildings na ndio maana ikaitwa the new York of Africa kuna picha apo umeweka km usingekuwa ww ndo umepost ningejua ni msitu wa Congo[emoji23][emoji23]
 
Tunavyo tofauti tofauti mfano mchele wa kutosha tunawapelekea wenye uwezo wa mchele ufuta wenye uwezo wa ufuta kunde wenye uwezo wa kunde na mahindi kwa wenye uwezo wa ugali km nyie
Bwahahaa!!!hata somalia mchele na ufuta hupatikana...
Lkn tatizo mihogo ndio habari ya mjini, manake mihogo imesheheni hko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukwel huu hapa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwahahaa!!!hata somalia mchele na ufuta hupatikana...
Lkn tatizo mihogo ndio habari ya mjini, manake mihogo imesheheni hko

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kwa taarifa yako mihogo kwa ss ni zao lenye kuhitajika mno pia lina faida sn na ni adimu nazani ata ww apo ulipo unatamani mihogo na hili zao tunataka kulipeleka level nyngne omba omba km nyie njaa ikiwakamata tunakua tunawapeni mihogo inakaa sn tumboni hamtolialia njaa kila wkt[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…