Ujumbe mzuri sana...HAPPY NEW YEAR 2020
Ushabiki kando, am happy EAC is doing fine development wise if we compare with the rest of Africa. Hongera zetu. Tumepiga hatua, sasa ni wenyeji tujitume zaidi and benefit from the opportunities created and take advantage of the few developed infrastructure to catapult ourselves to greater heights. Hapa effort ya mtu binafsi ndiyo itamuondoa katika hali duni. Govt is to make the environment condusive, kwa sasa Tz na Kenya wamejaribu, lakini bado twasonga mbele.
I WISH WANA JF WOTE SUCCESS AND GOD'S BLESSINGS MWAKA HUU.View attachment 1309029
Sent using Jamii Forums mobile app
Chang'aa icpohusika mbn ujumbe unakuaga mzr tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Umesahau Nigeria $400bil up than south africa
The Kenyan Economy rests in hands of the minority, the majority are in absolute poverty that's why in the whole country you have only slums for the majority and Estates for the minority(owners of Estate excluding Government estates)
Umesahau Nigeria $400bil up than south africa
Usijali tz $62bil tunafanya makubwa kwa sababu kuu Mbili
1 ) $1bil iliyopo tz inafanya mambo makubwa mara ×3 ya kihasi hicho hicho kilichopo Kenya
2 ) GDP ya tz 90% ni Mali ya watanzania isipokua 10% only tofauti na Kenya 25% ya GDP ndiyo Mali ya wakenya na 75% nimali ya mabeberu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchawi bibi yako
Thika kwani nayo iko nairobi,mbona limechakaa sanaThika town has better estates & CBD than Dar walai!
View attachment 1308599View attachment 1308602View attachment 1308604View attachment 1308605View attachment 1308612View attachment 1308613View attachment 1308614View attachment 1308615View attachment 1308616View attachment 1308617View attachment 1308618View attachment 1308619View attachment 1308621View attachment 1308622View attachment 1308623View attachment 1308624View attachment 1308625View attachment 1308626View attachment 1308629
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya ni washamba sana jamaa yanguHii ni flyover heheheheeee!!!View attachment 1308638
The stats doesn't support you.View attachment 1309124View attachment 1309125
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau Nigeria $400bil up than south africa
Usijali tz $62bil tunafanya makubwa kwa sababu kuu Mbili
1 ) $1bil iliyopo tz inafanya mambo makubwa mara ×3 ya kihasi hicho hicho kilichopo Kenya
2 ) GDP ya tz 90% ni Mali ya watanzania isipokua 10% only tofauti na Kenya 25% ya GDP ndiyo Mali ya wakenya na 75% nimali ya mabeberu
Sent using Jamii Forums mobile app
Give the Evidence that your World bank and IMF says Kenya GDP is &100bn
I don't really know why Kenyans ruin English by calling suburbs "estates". An estate is usually a property in the countryside or farmland that has a large house or mansion. You posted a bunch of poor roads and you called them estate. Jesus Christ, rest your illiterate souls.
Hii ni flyover heheheheeee!!!View attachment 1308638
Kamuulize yule pundamilia wa Kenya kwanini kakimbilia tz
population under international poverty line:
Most of the unga brands you consume are owned by them Indians and Arabs, they make you go to the toiletsMost of the rich kenyans are native Africans unlike Tanzania where top ten ni waarabu wahindi tupu.....
Sent using Jamii Forums mobile app