Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimewahi kuingia JamiiForums.com nikakuta ma upuuzi nikaondoka nilijilaumu kupoteza mb zangu
ha haaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaahhaa katika maneno yaliyonifurahisha Leo ni haya.....wanjala are u going crazy my friend??
Maana naona hata hujui unachoongea kaka....pumzika kwa leo🙂🙂😀😀😀😀
 
Hahaahhaa katika maneno yaliyonifurahisha Leo ni haya.....wanjala are u going crazy my friend??
Maana naona hata hujui unachoongea kaka....pumzika kwa leo🙂🙂😀😀😀😀

Mtu akikosa hoja huongea hivi wewe unavyofanya! Yaani ukifumaniwa na ukweli kubabaika kunaikuswibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…