Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Ss beberu aende Ethiopia kuna nn pale zaidi ya michanga tu
Yani Dar hadi miwa inauzwa cbd!? 😂 😂 😂Nitofautishie mwanangu walahi Mimi nimeshindwa.Maana hii CBD yenu sipati picha.View attachment 1307266View attachment 1307268View attachment 1307271View attachment 1307272View attachment 1307273View attachment 1307274View attachment 1307276View attachment 1307278View attachment 1307280View attachment 1307281View attachment 1307283View attachment 1307284View attachment 1307285View attachment 1307286View attachment 1307287View attachment 1307288View attachment 1307289
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee!!utawindwa, umeona vile kamati ya roho mbaya wametoweka tangu jana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uwe unaelewa mantiki basi nmesema kagugo uone alipgwa na nani cjaongelea hbr za kutawaliwa mwehu ww[emoji23][emoji23]
Wajinga hao, watamdanganya yule asiyeijua dar...eti hii dar sio ile ya 90sDar hamna kitu ,Hawa jamaa ni nyongo mkalia ini yani wanalazimisha Dar Yao ilinganishwe na Nairobi.
Sent using Jamii Forums mobile app
CBD beeibiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama kawa... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona unadhalilisha dream houses jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wajinga hao, watamdanganya yule asiyeijua dar...eti hii dar sio ile ya 90s
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu kw ground ni different, yani bro nimekukubali sana...Hadi nyuma ya hizo tower tatu kuna vibanda vya mama nitilieView attachment 1307488
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wa JF na Engineer wao fake they've to know kitu kuhusu Dar
Dar is not all about tower 3, Masaki, CBD, Uswazi kwenye zile nyumba zenye bati za kutu....
Dream Houses tunazozingumzia zipo huko + the place in video
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafundi ujenzi siku hizi hula chips..manake nayaona yale madude yenu ya chips ya hko darWe fala kweli ww huoni mabati ayo hao wanahudumia mafundi ujenzi lofa we[emoji23][emoji23]
Na hao wakikam Kenya wanakosa vitu mbaya CBD so inabidii Wande slum.Vitu kw ground ni different, yani bro nimekukubali sana...
Umeamua kucheza na cbd tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi pia najiuliza sana hayo maswaliNa ndio sasa nashangaa Dar ya 1990 ilikuwa aje kama Dar ya 2019 ndio inafanana hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
CBD beeibiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1307662View attachment 1307661
Sent using Jamii Forums mobile app
Hko ndo huenda kujipumbaza nako, ila nje ya slum huogopa kupiga pichaNa hao wakikam Kenya wanakosa vitu mbaya CBD so inabidii Wande slum.
Sent using Jamii Forums mobile app
Such a thing huwezi ona Nairobi cbd. There are a number of fenced areas but you can't find zimezingirwa na vibanda Kama ninavyoona hapo juuHapo ni rerseved kuna njemba moja inataka kuporomoshwa hapo, awali ilitaka kuwa kituo cha BRT kwa phase one kabla ya route ya kwanza ile kuvunjwa instead ya kuja hapo ndo ikahamia City Council pale, so yamkini itakua kituo for the 2nd phase ya Mbagala
Plan ya sasa ya hilo eneo ni kuwekwa tower za over 30 tupu, ukija na hiyo road zinakotoka gari NHC wana project yao sema nayo iko suspended ilikua about 30+ floors...
So the place now imezungushiwa mabati tuu kwahiyo street vendors lazima wafanye yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ichoboy tulilazimisha tu ndio akapost picha za Kisumu CBD.Hko ndo huenda kujipumbaza nako, ila nje ya slum huogopa kupiga picha
Sent using Jamii Forums mobile app