Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hayo ni makaazi Bora ya upanga na magomeni mapipa maana kidogo huko watu wanajielewa lakini kule tandale mabibo manzese mkwajuni,kinondoni hata kwa dawa sithubutu maana unaibiwa mchana peupe.
Hizo picha ulizo post ndiyo makaazi duni kabisa uliyopata dar sasa nenda Kenya uone makaazi duni kabisa ya kenya

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uswazi hata mimi nililemewa kuenda.......in dar you can only walk around the cbd or the beach strip areas....hata parts zingine za kariakoo hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huyo huyo janerose ninaye mjua mm umekuja dar lini na hela Umetoa wapi !!!??? Mwenzako katembea dar yote ndiyo kapiga vijumba 10 vibovu tunamwambia apize uswazi anadai hataki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…