Uhuuuu!!! levo moja na Kenya ???? Nani anataka kuufanana na kenya sisi atuwezi kuuza nchi yetu wala kusujudia mzungu wala hatutaki kuishi kwa slumKama kuna kiongozi niliheshimu hapo Tanzania ni Kikwete......jamaa alikua mchapa kazi na hakua na bwebwe wala majivuno,nadhani kama bado angekua rais kiuchumi tungekua level moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu yaliyengwa,That doesn't make sense. Kariakoo iko ndani ya Dar es saalam but Dar es saalam only has 3 towers, so how come Kariakoo ikuwe na gorofa mingi kuliko Dar es saalam?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu yaliyengwa,
Alafu Dar es salaam imejegwa ndani ya miaka michache tu lakini imeshaichapa Nairobi.
Dar imejengwa ndani ya13 yrs wakat nairobi imeanza kujengwa 45yrs lakini maendeleo hakuna,
How old are you? Sometimes I usually wonder you teach your children. So meaning 2005 kurudi nyuma hukukuwa na nyumba yoyote Dar? Wewe supu ya albino imekuaribu akili.Dar imejengwa ndani ya13 yrs wakat nairobi imeanza kujengwa 45yrs lakini maendeleo hakuna,
Usafiri mbovu wa umma, majengo yaliyochakaa, maghorofa yanaanguka mara kwa mara, maghorofa zaidi ya elfu kumi yapo hatarini kuanguka, slums za kutosha.
Wewe naona supu ya jaluo inakuaribu akili,How old are you? Sometimes I usually wonder you teach your children. So meaning 2005 kurudi nyuma hukukuwa na nyumba yoyote Dar? Wewe supu ya albino imekuaribu akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe naona supu ya jaluo inakuaribu akili,
Kwa hiyo unafananisha Dar ya kipindi hicho na Dar ya kipindi hichi?
Nimekuambia kwa hiyo Dar ya kipindi kile ina mfanano na ya sasa hivi?Umesema Dar imeanza kujengeka 13yrs ago and that's why nimekulliza kwani Dar haikuwa na nyumba before that time? Remember between 2005 - 2019 Nairobi has built many infrastructure than entire Tanzania combined.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1306949Nimekuambia kwa hiyo Dar ya kipindi kile ina mfanano na ya sasa hivi?
Many infrastructure za kunyanyua tofali mbili juu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo barabara hapo ina tatizo gani ukilinganisha na barabara zenu zilizojaa mashimo?Sasa kama Dar CBD ya sasa hivi ndio barabara iko hivi, then how was Dar ya kitambo.View attachment 1306949View attachment 1306950
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo barabara hapo ina tatizo gani ukilinganisha na barabara zenu zilizojaa mashimo?
Hiyo barabara uliyopost hapo juu ina mashimo?
We mwehu kweli ss tuipite mara ngp cc kwa ss tunajiandaa kuachana na hii battle kwakuwa nyie co saiz yetu tena mda c mref tutakuwa tunawauzia umeme tutaanza kuwapa msaada wa chakula mmeshaanza kutumia hospitali zetu kwa magonjwa km cancer mmeshaanza kuja kujifunza jnc ya ku finance miradi mikubwa ss tuwazid mara ngpNa ukiskia venye wanajiconsoul ati watapita Nairobi 2020 huwa nacheka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Onesha shimo kwenye hiyo barabara.
We mwehu kweli ss tuipite mara ngp cc kwa ss tunajiandaa kuachana na hii battle kwakuwa nyie co saiz yetu tena mda c mref tutakuwa tunawauzia umeme tutaanza kuwapa msaada wa chakula mmeshaanza kutumia hospitali zetu kwa magonjwa km cancer mmeshaanza kuja kujifunza jnc ya ku finance miradi mikubwa ss tuwazid mara ngp