Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umepanic bro...
 
Eti stage ya kisumu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., chukua aerial view ya stage yote tuone ukweli wewe CCM propagandist. Cherry picking pictures out of context ku dhalilisha Kenya kwa walala hoi wenzako haitobadilisha ukweli., pole kaka Kenya sio size yenyu, ukatae ukubali, upende usipende.,

Weka aerial view ya hiyo Kisumu stage kama una uhakika, I dare u.,
Hii ndio stage ya kisumu city[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora ulale choo cha bar kuliko hapaView attachment 1305145View attachment 1305146View attachment 1305147View attachment 1305148View attachment 1305149

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vidrone vya $15M tunavyoenda kuwaomba wazungu waturushie kutoka kwenye stations zao si vitu vya kutushinda sema tu hatujaamua. Bei yake haifikii hata fokker50 halafu unajigamba hapa na kukirusha mwenyewe hupewi hata nafasi ya mtaalamu hata moja kutoka nchi yako kwenda kwenye space station, tuliza tu ball tutarusha vya kwetu
 
Now look at what you call a city in 21st century?., what percentage is slumish?., weka aerial view vs Nairobi..., Google earth ukitaka., Cities have slums, from Rio de Janeiro to Johannesburg, Cairo to Manila., difference ni percentage of the populace.,
Dar mpajenge kwanza ndio uongee[emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apo utawauzi ss wenzio walishaanza kukupa credits [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…