babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,425
- 36,036
Fuatilia comment zangu kisha nioneshe nilipo kana,You were one of the people waliikana eti hizo sio picha za Arusha wala Tanzania. what has changed now?
Nishawazoea. didn't ichoboy say naokota picha Google na kusema ni za Arusha?Narudia tena hakuna aliyakana zaidi ya kukuambia hayo maeneo yalishachange kitambo,
Lakini cha ajabu siku nyingine utarudia tena kuzipost hizo picha 😂😂😂
Unawachanganya watu kwa kupenda kuokota okota picha za maeneo ambayo yamekwisha change,Nishawazoea. didn't ichoboy say naokota picha Google na kusema ni za Arusha?
Mwenzako alisema hizo picha sio za Arusha. Get my point. And by the way, can you show us the current status of those places kabla ya kutuonyesha za kisumu?Unawachanganya watu kwa kupenda kuokota okota picha za maeneo ambayo yamekwisha change,
Kwanini unapenda kupost picha ya maeneo yalio kwisha badilika?
Usicheke,hizo ni world class slum na Kenya inayo one of the biggest in the world,ni kivutio tosha cha utali.Tanzania mnacho kivutio kama hicho?
Amezikataa kwa sababu una tabia ya kuokota okota picha ya maeneo ambayo yalikwisha badilika sijui kwanini huwa unapenda kupanic ovyo ovyo 😂😂😂Mwenzako alisema hizo picha sio za Arusha. Get my point. And by the way, can you show us the current status of those places kabla ya kutuonyesha za kisumu?
And then tuonyeshe pia na the current status za hizi sehemu za Dar (aerial views) kwa sababu kila kitu kibaya kwenu ni cha 90sUnawachanganya watu kwa kupenda kuokota okota picha za maeneo ambayo yamekwisha change,
Kwanini unapenda kupost picha ya maeneo yalio kwisha badilika?
This looks and smells like poverty in a ldc countryAnd then this is Arusha!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] And LDC is just an LDC. Always comparing the bad in Kenya with their "best"View attachment 1304848View attachment 1304849View attachment 1304850View attachment 1304853View attachment 1304854View attachment 1304855View attachment 1304856View attachment 1304857View attachment 1304858View attachment 1304859View attachment 1304860View attachment 1304861View attachment 1304862
Haiya umeshahamisha magoli pengine 😂😂😂And then tuonyeshe pia na the current status za hizi sehemu za Dar (aerial views) kwa sababu kila kitu kibaya kwenu ni cha 90sView attachment 1304946View attachment 1304948View attachment 1304949View attachment 1304950View attachment 1304951View attachment 1304953
Oooh my GOD,it seems kenya kuna umasikini mbaya sana,look at the salon,ati kwenye hiyo kibanda nayo scrub hufanyika!!🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂Nilipita stage heheh utasema uko ndani ya choo cha bar😂😂😂😂 baiskeli taxi zimejaa kama nzige
View attachment 1304741View attachment 1304742View attachment 1304743View attachment 1304744View attachment 1304745
View attachment 1304749View attachment 1304750View attachment 1304751View attachment 1304752View attachment 1304753View attachment 1304755
Heheeee!!naona umeanza kusoma alama za nyakati...graph imekueleza vizuri km 2016 tulikuwa na percwnt ngapi...2017,2018 na 2019 hawajaweka...Sijakuuliza graph,
Nimekuuliza kenya ina asilimia ngapi ya watu wanaoishi kwenye umasikini?
Sasa uwe unaona aibu unaposti picha za mwaka 2012,leo hii kuna mabadiliko makubwa sana ndo watu wanashindwa kukubali kama ni Arusha kweli,speedo na bic hata matangazo yake yashafutika kitambo saaaanaI like honest people like you. watu wanaosema ukweli bila kupumbazwa na uzalendo. Wenzako walishaanza kukana hizo picha Kama ilivyo desturi yao na kusema sio za Tanzania. Okay Nina Swali: picha alizoleta ichoboy za Kaloleni kisumu zilionyesha mtaa ambayo iko na lami hadi taa za barabara na imepangika tu vizuri na nyumba zilikuwa za block ila mkaziita slum. Nasema hivyo Kwa sababu Naona umetaja kwamba yale maeneo ya Arusha niliyoonyesha kuna mabadikiko makubwa na kwamba siku hizi kuna lami. So lami ni bora tu ikiwa Kwenu ila ikiwa kwenye mitaa zetu hazina umuhimu wowote? Ile Kaloleni alioonyesha ichoboy ni bora kushinda Mitaa nyingi sana hata kule Dar ila huku mnaziita slum
Huyo jamaa nic ni mjinga sana yaani hata kama unaishi maeneo hayo unaweza ukapakataa kutokana kwamba 2012-2019 kuna changes nyingi zimefanyikaUnawachanganya watu kwa kupenda kuokota okota picha za maeneo ambayo yamekwisha change,
Kwanini unapenda kupost picha ya maeneo yalio kwisha badilika?
Mbna nisimjue na nko jfDuh hadi amber rutty unamjua!!???.. kweli watz tuko juu