Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona umekasirika sasa🀣🀣🀣🀣🀣 hio ndio stage yenu inakaa kama choo cha nguruweπŸ˜€πŸ˜€
Mbona sasa nikasirike na mtu ako na ujinga kama wewe. You go to a city like kisumu and all you could see are bad places because that's how your brain is conditioned. Well, what do you say about these very good and outstanding places in Mwanza, your second city?
 
Zoom hapo kama utaona nyumba ya mabati
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Nicxie una wazimu ww yn izo uswazi za mwanza ndo unataka kufananisha na [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji23]
 
Ila jaman huku watu wanamaisha magumu sijapata kuona dah yani uko kisumu ila unaeza sema uko kwenye center tu ya kawaida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona sioni wale wachawi wa kutoka south huku.

Nchi za Afrika zimerusha satelaiti 41 tangu mwaka 1998 hadi 2019. Satelaiti 38 zimerushwa na nchi 11, na 3 zimehusisha nchi zaidi ya moja:

Misri: 9
Afrika Kusini: 8
Nigeria: 6
Algeria: 6
Morocco: 3
Rwanda: 1
Kenya: 1
Angola: 1
Sudan: 1
Ethiopia: 1
Ghana: 1

HT: Space In Africa Swahili Times on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…