Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hooo wakenya wasomi wakenya wasomi cha kushangaza haya maswali mawili wanashindwa kunipatia Jibu
1) zimebaki siku ngapi kufika mwakani
2) A NUMBER OF SLUM IN KENYA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mna tu overtake sio[emoji1787][emoji1787]
Asante sana kw kujua km bado mko nyuma yetu...mpka mnawaza ku tu overtake, hyo ni dalili tosha ya kwmaba mnapiga domo bure ila ukwel mnautambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa dar ina nn, ukubwa wa bure tu...westlands ni kubwa kuliko kariakoo, posta, upanga...

Halafu ukotoa hayo maeneo kwngine kote ni vijiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhyo unakataa km EA tanzania ndio inaongoza kw idadi ya watu maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu wanajaribu kukubebeni wakenya Kwa kuonyesha kuwa MNA Akili kuwasujudia wao dhidi ya tz ila hata nao wanaona aibu maana ukweli upo wazi kabisa maisha ya watz ni mazuri na mepesi Mara 3 ya Kenya wewe subiri mwakani kama ninavyo waambia mtauona ukweli Kwa macho yenu maana hao wazungu lazima wakakubali wenyewe kuwa tz is great

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwahahaaa!!umeshindwa ku screenshot mwenywe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hyo hapo world bank wameweka mpaka 2016[emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mna tu overtake sio[emoji1787][emoji1787]
Asante sana kw kujua km bado mko nyuma yetu...mpka mnawaza ku tu overtake, hyo ni dalili tosha ya kwmaba mnapiga domo bure ila ukwel mnautambua

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimesema "overtake "
Tunataka tuwaovertake wachinya na mabeberu wanao imiliki Kenya nyinyi wakenya wazawa amjawai kuwa juu ya tz hata siku moja Kwa sababu kile mkenya chenye mnamiliki ni slum tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…