Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why would I google something I already know about? I'm trying to educate you, don't try to make yourselves dumber by thinking that you are trying to get back at me with some shenanigans.
Something you already know? 😂 😂
You only know it in your mind, that's the interesting part. Nairobi sio kama jiji jiji lenu glorified fishing village ambayo inachanganya residential areas na commercial areas ndani ya cbd. This is an organized city. I repeat, if you know any residential apartment in central Nairobi show me
 
Wewe ambaye ni mwerevu si utuonyeshe tu hapa hizo apartments ziko wapi cbd ili uokoe muda? Mbona Kazi rahisi tu? All this beating around the bush doesn't help anything. Tuonyeshe hizo apartments hapa dunia ione
 
Huyo mjinga anaishi mombasa hafahamu hata Nairobi 😂😂😂 unamuonea bure tu.
Afadhali yeye anaishi Mombasa. Wewe unayeishi Tandale unajua nini kuhusu Nairobi mbali na kusoma magazetini na kuchangia hapa jf?
 
Afadhali yeye anaishi Mombasa. Wewe unayeishi Tandale unajua nini kuhusu Nairobi mbali na kusoma magazetini na kuchangia hapa jf?
Tandale ni bora mara mia kuliko hiyo Mombasa inayonuka na majengo yaliyochakaa utafikiri palipigwa bomu la nyuklia 😂😂😂
 
Tandale ni bora mara mia kuliko hiyo Mombasa inayonuka na majengo yaliyochakaa utafikiri palipigwa bomu la nyuklia [emoji23][emoji23][emoji23]
Khaa!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Povu la kimataifa[emoji122][emoji122][emoji122]
Mombasa wewe unaiweza, bei ya nyumba tu utakimbia...je ya kiwanja si utakufa kabisa...heri ubaki hko hko tandale kw viwanja vya elfu kumi kumi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli bora nibaki huku kuliko Mombasa ambayo maisha ni magumu hadi mnakodisha wake zenu kwa matourist 😂😂😂
 
While you are dying if cholera every year in Nairobi. Dar is the New York of East Africa, that is the fact. Nairobi is a slum city, nothing can change that.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hilo sio Mimi, muulize huyo mkenya mwenzenu aliyepost hii video na kusema kwamba hayo maeneo ni " down town'.

Yeye anasema hayo maeneo ni " down town" wewe unakataa, hivi ni nani mwenye haki miliki ya huo mji wenu?, tatizo lenu ni kwamba kila mmoja wenu anajifanya anajua kumzidi mwengine, kamwe hamtoweza kupana na kuekewana kutokana na kujifanya wajuaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So hata kama alikosea Kwa kusema hivyo that one should remain gospel truth? Kwa hivyo yeye ndo ana own Nairobi and anything he/she says can't be challenged even if it's a lie? Believe anything your vloggger says but that won't change anything
 
We are the "fastest growing economy in Africa" 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kweli sisiemu sio watu wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…