Kuna siku nilimuuliza ataje jina la ward aliyotokea akakimbia mpka leoMimi hilo ninalipinga kwa nguvu zote, Mkikuyu ni mkenya na alishatoa "Biography yake, alipozaliwa, aliposoma na Kazi alizofanya katika GoK, na sasa hivi anishi wapi na anafanya nini. Ilidhihirika wazi kwamba ni mkenya asilia, na anaipenda Kenya kuliko wakenya wengi hapa JF, tofauti yake ni kwamba, yeye yupo juu sana kwa akili na mtazamo kuliko ninyi mnaoburuzwa na ukabila na uvyama.
Kuhusu Makazi, huwezi kulinganisha kati ya jiji ambalo zaidi ya nusu ya wakazi wake wanaishi katika slums, na jiji ambalo karibu 85% ya wakazi wake wanaishi ktk NYUMBA bora. Hao wanaosema Nairobi ni bora kuliko Dar, wanazungumzia 30% ya wakazi wa Nairobi pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimengoja anionyeshe uchafu Kisumu CBD. Kama alikua Kisumu hotel for real he must have seen this.Achana na huyo kilaza. Don't you know the person you are dealing with? Kisumu hotel is not far from Central Bank of Kenya, Acacia hotel and West End mall, Prosperity House (the second tallest building in kisumu), Tuffoam Mall, University plaza and a host of other places. But he has deliberately chosen to overlook all those na kusema eti alikuwa "busy" while he had all the time to shot pictures in Kaloleni slum which by all standards look way better than their filthy dream houses
Hapana Arusha ndo ilikuwa capital unless Ngosha kabadili! Hizi media zinaupotoshaji wa kijinga!Au arusha itakua branch alaf dar itakua hq
Nyumba zingine ziko wapiHow do people survive in the house like this na hili jua dah aisee
Hii ni slum ingine inaitwa nubianiView attachment 1302383View attachment 1302384View attachment 1302385
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]whaaaaaaaat?!!!!Eeeeee!!haifai kwa sababu mwenzako kaenda kuchukua picha maeneo duni..
Tukitumia hicho kigezo, basi hata dar sio city manake 70% ni uswazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheeee!!uliogopa jomba..Nilipita usiku sana alaf nilikua nawah harusi kisumu so sikua na muda kabisa
Hiyo Tanzania itakuwa posh estate.Kitu kiko organised lkn bado kw standard za kenya ni slum[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuingia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]whaaaaaaaat?!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheeee!!uliogopa jomba..
Haiyaaa, wakati ulipotoka hotelini mbna hukupiga picha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukaamua kuchukua picha ulipofika kaloloni slums...
Endelea kulinganisha slums na nhi yenu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa katoka hotelini direct mpka kaloleni eti kupiga picha za slums kufurahusha wenzake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Subutu...sai anatafuta mahali kuna kibanda akipige picha a post...Hiyo area hakuna kitu mbaya anaezapiga picha hili alete huku na ndio maana hajapiga picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Teargass, komora096 Nicxie Zigi Rizla n Tony254 here is Kisumu CBD bila chenga!Kitu in the ground plzππππππ
View attachment 1302341View attachment 1302342View attachment 1302343View attachment 1302345View attachment 1302346View attachment 1302348View attachment 1302349View attachment 1302350View attachment 1302351View attachment 1302353View attachment 1302354View attachment 1302355View attachment 1302357View attachment 1302358View attachment 1302359View attachment 1302361View attachment 1302362View attachment 1302363View attachment 1302364View attachment 1302365
sana yaani mpaka macho yametoka.....[emoji16][emoji16]Imekuingia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endleeni kulinganisha slums na nchi yenu tu[emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikua hoteli bwege wewe wacha hasira plz π€£π€£Jamaa katoka hotelini direct mpka kaloleni eti kupiga picha za slums kufurahusha wenzake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hta nairobi pia akirudi ataogopa kuchukua picha, na akileta basi ataleta za slums...
Nakuapia mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hivyo leo CBD ya Kisumu imehamishwa na kupekekwa Kaloleni! π π. Mko na shida sana Watanzania. Alafu afadhali sisi mkokoteni ndani ya estate. Vipi kuhusu hili? π π π€ππMkokoteni wa maji na nyumba za udongo zilee live ndani ya CBD....! π π π π
Ukipata nafasi pitia Kisumu port tumalize ubishi nimeli-miss gugu π !
ichoboy01 Kuna lile pendekezo la bwana Kitwanga la kutaka uwanja wa ndege wa Mwanza kuitwa Serengeti sikulipenda nililiona la kibinafsi ukizingatiwa kuna wilaya inaitwa Serengeti na mkoa unaomiliki Serengeti kiuhalisia! Na pia wenyeji wa huko walishapinga!Hapana Arusha ndo ilikuwa capital unless Ngosha kabadili! Hizi media zinaupotoshaji wa kijinga!
Jamaa katoka hotelini direct mpka kaloleni eti kupiga picha za slums kufurahusha wenzake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hta nairobi pia akirudi ataogopa kuchukua picha, na akileta basi ataleta za slums...
Nakuapia mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ya mwaka gani hii? ichoboy01 anatupatia picha live from the source! FYI even tucktuck n bodaboda r not allowed in Dar's CBD!Kwa hivyo leo CBD ya Kisumu imehamishwa na kupekekwa Kaloleni! π π. Mko na shida sana Watanzania. Alafu afadhali sisi mkokoteni ndani ya estate. Vipi kuhusu hili? π π π€ππView attachment 1302411View attachment 1302413
Ulisema umefika Kisumu hotel, why didn't you take the photo of that area?Sikua hoteli bwege wewe wacha hasira plz [emoji1787][emoji1787]