kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,753
Ila kwa Estates Nairobi hakuna mpinzani....Eastlands showing parts of Donholm, Umoja and Buru Buru estates. Then utasikia wakisema Nairobi ni slums. Ask them to show you picha taken at such a distance kutoka Dar utangoja sana View attachment 1301829
ungepitia Gorogocho, Kibera na other slums pia ndo uje u-compare na Manzese! Hizo estates za Nairobi unazosifia ndo zimepelekea uneven/inequitable distribution of resources ambazo zimesababisha rushwa ili kuweza kumudu nyumba za estate na wale wengi wa wakazi wa Nairobi kutomudu makazi bora na kuishia kwenye slums! Over 2 mln Nairobi residents live in slums!Ila kwa Estates Nairobi hakuna mpinzani....
Kuna ile Nyayo Estate niliiangaliaga documentary flan kupitia Citizen TV aisee wanasema ndo gated community estate kubwa kusini mwa jangwa la Sahara. .. kitu kama hicho sikosei
Kwa Estates you beat us hands down
Ila shida yetu Wabongo kujenga nyumba zetu wenyewe af pia serikali kutokua na limits ya vibali vya ujenzi nyumba za makazi ndo imetupelekea now akina Tandale, Manzese, Mwananyamala, Vingunguti n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataanza na baadhi ya maeneo sio yoteMpango wa nguzo za zege uliishia wapi?
waache kukata miti!Wataanza na baadhi ya maeneo sio yote
@VIKING23 @komora093Shauri yako slum[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1301911
Wews siulikimbia huu Uzi labda mm nikuulize wewe unajielewa kweli maana ulisema kamwe uwezi kuja kwenye huu Uzi nashangaa umerudi !!!!!
Bado upo, lakini hauwezi kuanza kwa Mara moja, lazima pawepo na kipindi cha mpito ili hizi za miti zimalizike, kumbuka kuna uwekezaji mkubwa sana ulifanyika katika viwanda na mashamba ya miti kwa ajili ya hizi nguzo.Mpango wa nguzo za zege uliishia wapi?
Sheria za ujenzi are so strict in Nairobi. Outside slum areas huwezi jenga tu nyumba utakavyo otherwise itabomolewa. Huku kuna baadhi za sehemu huwezi jenga apartments hata kama uko na huo uwezo na ni lazima ujenge as per the approved designs. Pia huwezi ongeza hata floor moja juu above what was approved otherwise itabomolewa pia. I remember there's a time a three star hotel in Gigiri was pulled down for adding just a single floor above what was approved.Ila kwa Estates Nairobi hakuna mpinzani....
Kuna ile Nyayo Estate niliiangaliaga documentary flan kupitia Citizen TV aisee wanasema ndo gated community estate kubwa kusini mwa jangwa la Sahara. .. kitu kama hicho sikosei
Kwa Estates you beat us hands down
Ila shida yetu Wabongo kujenga nyumba zetu wenyewe af pia serikali kutokua na limits ya vibali vya ujenzi nyumba za makazi ndo imetupelekea now akina Tandale, Manzese, Mwananyamala, Vingunguti n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
I hope watajenga tower ya maana! Na mpango wa Mt Kilimanjaro international convention center upo mbioni maana last time I checked ilikuwa hivi!
Alafu kumbe sio humu pekee wakenya hupokea vichapo,Wews siulikimbia huu Uzi labda mm nikuulize wewe unajielewa kweli maana ulisema kamwe uwezi kuja kwenye huu Uzi nashangaa umerudi !!!!!
Pia nisisahau kukujulisha kuna SLUM MPYA YA KUFUNGIA MWAKA IMEGUNDULIKA KENYA INAITWA "SINA MAKOSA SLUM"
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mbona Nairobi inaongoza Africa kwa majengo ya uyoga (yasiyo na viwango) yanayoanguka? Labda nikuulize Sheria zipi hizo? Zinazonyamazishwa na urefu wa mfuko wa dolari?Sheria za ujenzi are so strict in Nairobi. Outside slum areas huwezi jenga tu nyumba utakavyo otherwise itabomolewa. Huku kuna baadhi za sehemu huwezi jenga apartments hata kama uko na huo uwezo na ni lazima ujenge as per the approved designs. Pia huwezi ongeza hata floor moja juu above what was approved otherwise itabomolewa pia. I remember there's a time a three star hotel in Gigiri was pulled down for adding just a single floor above what was approved.
Changamoto bado zipo nyingi tu but in this sector Nairobi imepiga hatua more than other city in this region
Ni watu wa shobo lazima wapewe vitasa vya kufa mtu!Alafu kumbe sio humu pekee wakenya hupokea vichapo,
Nimepitia leo ile forum ya wanaija πππ wakenya wanapewa vichapo vya nguvu hadi huruma yaani ni kama wakimbizi kwenye forums za watuπππ
You see, you always mention slums whenever you do comparisons between Dar and Nairobi. It's because slums are the only things from Nairobi you can compare with Dar. Geza, you can't win in everything. Trying to make it look like Dar is better in everything just makes you look stupid! Even the best cities in this world have areas that they still score below average. Why do you want to glorify Dar so much and make it look great while it's not? When it comes to planning and residential areas, Nairobi beats Dar pants down. But because this is a bitter pill to swallow, you resort to using words like "Nairobi ilijengwa na wazungu" and such like words which only shows your level of desperation! Wake up from this dream coz it's not valid just like your dream houses!ungepitia Gorogocho, Kibera na other slums pia ndo uje u-compare na Manzese! Hizo estates za Nairobi unazosifia ndo zimepelekea uneven/inequitable distribution of resources ambazo zimesababisha rushwa ili kuweza kumudu nyumba za estate na wale wengi wa wakazi wa Nairobi kutomudu makazi bora na kuishia kwenye slums! Over 2 mln Nairobi residents live in slums!
That's why nimemaliza kwa kusema kwamba bado tuko na changamoto nyingi ila timeshapiga hatua tena mbali sana kwenye hiyo sector jambo ambalo nyinyi bado hamjaanza hata kidogoNa mbona Nairobi inaongoza Africa kwa majengo ya uyoga (yasiyo na viwango) yanayoanguka? Labda nikuulize Sheria zipi hizo? Zinazonyamazishwa na urefu wa mfuko wa dolari?
Kuliko sisi? R u high on miraa? Mention one building that collapsed in Dar in the past 4 years! So Una uhakika 2020 majengo Nairobi hayatadondoka? π€£ πThat's why nimemaliza kwa kusema kwamba bado tuko na changamoto nyingi ila timeshapiga hatua tena mbali sana kwenye hiyo sector jambo ambalo nyinyi bado hamjaanza hata kidogo