Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sijawahi kuona maisha kama haya Dar.Na hizo estate unazo ringia ,watu ambawo wanaoishi humo ni matajiriNairobiMombasa Eldoret Nakuru
 

Attachments

  • download (33).jpg
    9.7 KB · Views: 22
Tuonyeshe makaazi ya watu wa kipato cha kati dar...
Usiajli lkn sikupenda kwangu kkukimbiza lkn itabidi ukimbie tu[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umelidhika na mabanda yenu,rahal mustarehe.Hizo nyumba mnazo kazania uswazi ni nyumba za chini sana huku Dar,sasa twende Nairobi Dampo sio dampo uchafu si.uchafu ina onesha kwamba mwananchi maskini wa kenya hawawezi kumiliki nyumba bali Sjui mnaviitaje huko lakini sisi tuna viita mabanda ya kuku
 
Wakoloni waliijenga nairobi lini...
Halafu tuletee hzo middle class estates tuzione hapa...

Nakwambia leo utakimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuona apo mkuu komora096 akionyeshanjia [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Full of excuses as always. Typical of bongalalas. Wakati wazungu "wakijenga Nairobi" huko kwenu walikuwa wakifanya nini? Je, hamkutawaliwa na wazungu jinsi walivofanya Kenya? Mbona wazungu waliamua Kujenga Nairobi na kuwacha Dar? These are the kind of excuses you give everytime you can't provide explanations for vaurious problems that ail your country. Nairobi ni juhudi za wakenya, ni jiji ambalo limejengwa na wakenya. Angalia picha za Nairobi za kabla ya Uhuru na za wakati huu kisha uniambie wazungu walijenga Nairobi Kivipi. Kila siku mbaazi ikikosa matunda husingizia jua, and that's exactly what you are doing.

Nairobi got slums and we know that. Sisi sio kama nyie who excell in living in denial. Outside those slums, Nairobi is a planned city with very decent houses but since you can't match that standard, you find every adjective possible to describe those residential areas, forgetting that you have uswazi that cover three-quarters of your city. How lazy can one be!!
 
Nairobi hospital heart centre is world class

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania kwa Africa tunazidiwa na South Africa tu, na ni kwasababu wao wameshafanya " Cardiac transplant ", Tanzania tunategemea kufanya " Cardiac transplant" ndani ya miaka mitano toka sasa hivi. Katika tiba ya MOYO, hata Egypt haifikii Tanzania. Wakenya wamejaa hapa "Jakaya Kikwete Cardiac Institute unawaza fikiri ni watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukumbuke wazungu walikuja kwenu kwanza kabla kuja huku.nadhani umeona 1950 nairobi ilikuaje semeni kenyata kawajengea hapo.Lakini yote yamepita na tunaganga yanayo kuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…