Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha Nilisha waambia sikunyingi ikulu ya kenya nisawa na ofisi ya mkuu wa mkoa
hapo unatumia Dk 13 hata Kenyatta ajifiche wapi kumnasa hahaha
Ndio maana nyinyi bongolala wasee wanaongelea infrastructure na industries bado mnaongelea ikulu
 
You know why most Nairobi CBD photos are too much edited to get these kind of effects, Because Its old an unappealing.
Atleast you have something to say, Why have you not comment on those that are not edited?? Very Petty!!
 
Kuna iphon 7 plus imetoka vipi ulisha chukua!!

Ikulu ya Tanzania nikubwa kiasi ukiingia inakuchukua Siku nzima kuimaliza

Kenya ni ofisi ya Mkuu wa mkoa
itakuchukua Dk 13 tu kumaliza kila kitu
ha haa mzee wa iphone7 ...
 
Kuna iphon 7 plus imetoka vipi ulisha chukua!!

Ikulu ya Tanzania nikubwa kiasi ukiingia inakuchukua Siku nzima kuimaliza

Kenya ni ofisi ya Mkuu wa mkoa
itakuchukua Dk 13 tu kumaliza kila kitu
Sawa sawa ...mlijenga ikulu badala ya kujenga super highways?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…