Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi KQ maana yake ni nini coz haiendani na long form ya kenya airways

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni code zinatolewa na Taasisi kubwa kabisa duniani zinazohusika na usafiri wa Anga ambazo ni IATA na ICAO....IATA ndo wenye hiyo code Kenya Airways ya kwake ni KQ wakati Air Tanzania the wings of Kilimanjaro yakwetu ni TC.
IATA inadeal na Airlines wkt ICAO inadeal na usalama wa usafiri wa anga kwa ujumla.
 
Ah sawa kiongozi nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's because KA was already taken by another country
 
Ila nimekuja kufuatilia hiyo KQ kama vile ni share holder kwenye kenya airways ana 38%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa hata kama internet ni expensive, we make the most out of it si kufuatilia tu udaku wa WCB

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…