babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,412
- 36,004
Endeleeni kushuku 😂😂😂Nashuku ndio wanawasha moto kati ya Uganda na Rwanda kama vile wanafanya Somalia ili tufungiwe bahari. Kutamani sana biashara ya port inawafanya hadi kutumia pesa za ndani kujenga reli ilhali wananyima wanabiashara hizo pesa which ultimately constricts the economy.
wanazuia peanut butter na unga ambayo sisi ndio tumeban wa kwanza. Nashinda nikiwakumbusha someni details kabla ya kurukia headlinesSudan kusini wanalalamika fake products kutoka kenya, Rwanda wamezuia peanuts butter kutoka kenya 😂😂😂
Sheria zetu haziruhusu kusafirisha wanyama jamii ya ndege kutoka nchi nyingine.
Si kama juzi tuliwachapa wakakaa kimya 😂😂😂Ile mechi na South Afrika mkakaa kmy km co nyiee [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Germany, France, China, Japan n the UK! All of them their freight trains r electrical!Dunia nzima umeona wapi train ya freight ni ya umeme?., ya wa Ethiopia inawasumbua kishenzi, stima ni sawa kwa public transport na bullet trains., kama ya Morocco.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bidhaa zenu nyingi ni feki, hivyo tukiban itabidi tu mtulie sio kulalamika ovyo.wanazuia peanut butter na unga ambayo sisi ndio tumeban wa kwanza. Nashinda nikiwakumbusha someni details kabla ya kurukia headlines
we want cargo business n we r getting it! we wanted pipeline from Uganda, we got it! N it seems we will get sgr too!Wapumbavu wakigundua Kenya itafaidika zaidi kule Rwanda wanaweza hata kusitusha huu mradi., kama wanaweza choma vifaranga vya Mtanzania mwenzao kwa ajili alinunua Kenya, ni lipi wasiloweza kufanya?., Tanzania iko kwenye giza kuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
we unajua Westlands inavyotoshana kweli? the developments on that district are unmatched
we want cargo business n we r getting it! we wanted pipeline from Uganda, we got it! N it seems we will get sgr too!
Germany, France, China, Japan n the UK! All of them their freight trains r electrical!
It's not like you had a mega-strategy in place. UG avoided the Kenyan route because of expensive land compensations. Kwa reli don't forget it's already your business on road. You're only shifting the mode of transportation.we want cargo business n we r getting it! we wanted pipeline from Uganda, we got it! N it seems we will get sgr too!
Funny thing is that a bulk of Uganda's trade is from Kenyan manufacturers who are avoiding Kenyan taxTo help catapult our economy. We are big investors in EAC and we make more trade than you.(Kenya $38m, Uganda $22m, Tz $16m!), according to the recently released report by EAC secretariat. So when you develop your infrastructure it will be for our good!
"..However, the reports note that Kenya gains the most from trade within EAC... $38m..." reads the news
Check it out to verify., wewe ni jasusi wa CCM.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Westland district inamezwa vizur hapawe unajua Westlands inavyotoshana kweli? the developments on that district are unmatched
here's just a small section
View attachment 1292946
Plus security and Tanga port being protected from seasonal interruptive Monsoon winds! Total EA considered those economic factors on their pick of Tanzanian route! Now if over $10 bln refinery, another $200mln roads n $300mln international airport r being built in Hoima aside pipeline, will it click in ur mind of lucrative chances of an SGR line from Keza to Lake Albert region the future of prosperous Uganda knowing massive nickel deposits sits idle at Kabanga in Kagera without rail to the ports of Tanzania?It's not like you had a mega-strategy in place. UG avoided the Kenyan route because of expensive land compensations. Kwa reli don't forget it's already your business on road. You're only shifting the mode of transportation.
Lkn ujue kibera ni slum sio km uswazi middle class...wata kunanii ukijisahauKomora nataka kuja kutalii kibera nishuhudie walusha mavi wanavyo fly hizo toilet
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali, hyo ndio hali ya maisha...au hujui km ukwel mchungu?Grow up,
Jifunze kusoma na kuelewa na sio kurukia kureply,
Kingine acha tabia ya kulazimishia watu maneno ambayo hawaja yaandika maana utaambiwa uthibishe na hutoweza kuthibisha zaidi ya kuandika maujinga.
Grow up sio kubishana kwa kuhalalisha maneno ambayo hayajatamkwa.