Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Vijengo vya bei ndogo kama kawaida. Hatutamaliza miezi mitatu utasikia limeanguka na kuua poor kenyans.
Ukinionyesha mjengo wowote ambao upo katika project km hyo umeanguka ni log off jf...

Hzo ni estates jomba, watu wanawekeza kupiga hela...we endelea kna middle class yenu(uswazi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…