Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndoto za abunwasi! Tanzania moja hii. Maybe in propaganda yes!., nakubali kabisa! !
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anasherekea sonko kulipa Dola laki 3 wakat wakat kaiba dollar million 15🤣🤣🤣🤣
Yaani hawa Kupambana na ufisadi bado sana 😂😂😂
Rais wao alijaribu akaishia kudeactivate mitandao yake ya kijamii 😂😂😂
 
Nchi inapoteza 6.9m ksh within 3 minutes wakat watu wanakufa na njaa huku floods ikiua watu zaidi ya 170 alaf mtu anasherekea hapa

Kuna mimbuzi jana ikaleta picha hapa oh sijui ni kujulikana nikasema ila kuna watu washamba dunia hii. Yaani ushamba halafu juu wanaliwa pesa. Wananchi wanateseka halafu mamilioni ya pesa yanatumika kuproject flag in a freaking foreign country hivi huu si ni uchizi huu?
 
Unaona propaganda sio maendeleo, mwenzako kakuelezea uhalisia wa mambo on the ground, wewe mwehu unasema eti ni chuki! Mwana CCM penda ukweli ujikomboe. Propagandist idiot![emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo was a good gesture by Dubai gov't to Kenya., ilidhibitishwa no money was paid, they did the same to Uganda, during their independence celebration, Tanzania ndio hamjulikani kabisaaa., cha kushangaza waislamu ni wengi sana na nchi ya kiislamu haiwatambui!!., inatambua Kenya and Uganda! Less than 20% Islam!.,
Nchi inapoteza 6.9m ksh within 3 minutes wakat watu wanakufa na njaa huku floods ikiua watu zaidi ya 170 alaf mtu anasherekea hapa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wivuuuu!., machungu sana, ugua pole pole. Kwenyu ni ma dream houses kibao tu.., outside Lagos hakuna mji wa masikini wengi kama Dar is slum!., fanya utafiti ujibiwe na facts.

Sent using Jamii Forums mobile app
Masikini ni wewe na familia yako. Siwezi kuishi kwenye hizo hostel hata siku moja yaani hata college dorm yangu ilikuwa nzuri kuliko huo upuuzi mnaopost halafu nione wivu? Hivi unajjitambua wewe kweli? 🤣 🤣 Tanzania watu wengi wanaishi kwenye nyumba zao na huu mtindo wa kuishi kwenye apartments ndio umeanza kuboom sasa hivi lakini hata kama ni apartments, za kwetu sio kama hayo magofu. Uhalisia wa hizo hostel ni huu hapa chini
 
I like your arguments, sio vijisifa vya bure, watasema wewe sio mzalendo!.,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cladding has also started on Upperhill chambers, the building on the left close to Prism towers
 
Unfinished buildings zao kama kawa 😂😂😂
 
You're alway here telling us on how best and reliable youre median outlets are then that is from citizen tv
 
Cladding has also started on Hazina towers which 25 floors. The building can be seen in this picture behind I$M bank tower and next to Anniversary towers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…