Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe sema ni picha gani imekutia waswas unataka kujua [emoji23][emoji23][emoji23] usinipangie nn chakufanya mm nataka useme picha gani unamashaka nayo nikutoe uharo sasa hvi
Bwahahaaa...nakwambia leo na log off ukileta picha pamoja na jina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Langata[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Bwahahaaa...nakwambia leo na log off ukileta picha pamoja na jina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Langata[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1288088
Sifanyi kazi unayotaka ww kama unataka kujua na kufahamu picha zote nimekuekea mezani chagua alaf uliza ni wapi ujibiwe pimbi weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huelewi kinachoendelea, unaweza msaidia mwenzako pia....ama km hujaelewa muulize
Unataka kujua sehemu picha zote nimeweka uliza picha gani ujibiwe sio uniamrishe nifanye unavotaka wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwenzako kakimbia simuoni tena
 
Unataka kujua sehemu picha zote nimeweka uliza picha gani ujibiwe sio uniamrishe nifanye unavotaka wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzako kakimbia simuoni tena
Bwahahaaa!!nikuulize wewe km nani, km unaweka pachiko weka na jina kabisa..
 
Sifanyi kazi unayotaka ww kama unataka kujua na kufahamu picha zote nimekuekea mezani chagua alaf uliza ni wapi ujibiwe pimbi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa sikuja kuuliza ujinga, ukiamua kuweka pachiko malizia kila kitu..au unaogopa
 
Bwahahaaa!!nikuulize wewe km nani, km unaweka pachiko weka na jina kabisa..
Ulitaka kujua siku zote unauliza kama ndugu yako alivofanya nikamuaibisha hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
Hii picha ulileta si Masaki?
View attachment 1288113
Ndio maana nikakwambia wewe ni fala sana hio ni msasani bwege weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajifanya kila kitu unakijua kumbe nduza tu na masaki yenyewe ni kubwa sawa na Mombasa yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…