Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utamfukuza sasa hvi broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Bwahahaa!!!mbna umekasirika k hvo..wazito fc hawatumii pesa ya babayako bana
 
Na bado ki mpira wako vizuri, wakiipata simba wanaigaragaza vibaya sana[emoji23]
 
Na bado ki mpira wako vizuri, wakiipata simba wanaigaragaza vibaya sana[emoji23]
Embu tuambie ina mafanikio gani kwenye club bingwa Africa na ni timu ngapi za Kenya huwa zinashiriki club bingwa Africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Note, Sijakuuliza local game za Kenya Nimekuuliza club bingwa Africa.
 
Na bado ki mpira wako vizuri, wakiipata simba wanaigaragaza vibaya sana[emoji23]
Kimpira wawe sawa alaf wasiwe na maendeleo kabisa wanaenda nchi za watu wanalala airportπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…