Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha huwa napenda sana kubishana na mtu aliyepanic 😂😂😂
Kenya mko na nini cha maana kama bado enzi hizi bado mnapewa misaada ya chakula,
Uchumi feki
Mashamba yanayomilikiwa na wazungu 😂😂😂
Ukabila,
Corruption,
Alafu hivi unajua Tanzania kuna masikini asilimia ngapi 😂😂😂

 
Unajua ulivyoingia kwenye hii thread nilidhani unajielewa kuliko wale mbweha wengine kumbe hauna tofauti yoyote. Kwanza mwaka 2016 nyie ndio mliongoza kuja kutembelea vivutio vya Tanzania kuliko nchi yoyote ile. Halafu, usijidanganye kuwa eti Al shabibi sijui ndio waliosababisha mpaka tourism yetu inakua kwa kasi kuliko yenu, ni juhudi tunazozifanya. Unadhani tunavyoleta warusi, waisraeli na wachina kwa makundi makubwa ni kwasababu wao ndio wanataka kuja tu? Tunafanya kazi kutangaza vivutio vyetu sio kama nyie mliokaa kama couch potatoes. Wakenya Tanzania wanapapenda sana. Kama hupapendi, it's your problem. Mpaka waziri wenu wa utalii alisema kuwa sasa hivi tunawazidi kwasababu ya uboreshaji wa hospitality huku kwetu.
 
Someone kutoka nchi ambayo haiwezi hata kufanya mradi wake kwa pesa yake zaidi ya kukopa tu,
Unataka wachina waje kujenga kama mnavyojengewa hapo kwenu 😂😂😂
Tanzania ni baba wa EAC ndio maana members wote mnategemea Tanzania kwenye mambo yote ikiwemo jambo la msingi chakula,
Tukigoma kuwauzia mahindi mnakuja huku mmepiga magoti kutoka kunyaland failed state hadi Tanzania kuomba muuziwe

 
umaskini umekita sana Tz hata kuliko Kenya, it's just your government isn't welcoming on negative publicity. Your data collection is also wanting.
"In East Africa, Tanzania has more people living in extreme poverty, some 21.9 million, followed by Kenya at 17.6 million and Uganda's 15.8 million."👇👇
 
Ahahaha afu unajua nilikua sifaham kama Kenya below poverty ni 46% almost 50% and stil increasing but its a middle income kauntri wakati Tz ni 26% and stil decreasing [emoji23][emoji23][emoji23], unemployment ya middle income ni 9.4% stil increasing while Tanzania 1.8 and stil decreasing [emoji23][emoji23][emoji23], corruptions in kenya is twice of Tz and stil increasing while in Tz its almost done with corruption [emoji23][emoji23][emoji23]. And hey kenyan tourism sector ya Tz 3bln mwaka 2020 projected, and by now the gap btn KE and TZ in tourism is 900M.

Its ok kutuogopa mana hizi massive progress tunazopga kiuchumi bila kugusa gesi na mafuta yetu ni balaa. Na sahv sekta ya madini tulokua tunaibiwa inaanza rasmi kuchangia kwe gdp kuanzia mwakani, infrastructures kukamilika mwakani, yoh mbna kazi mnayo
 
😂😂😂

 
Mi nakupatia mawazo kulingana na studies mse. Hospitality industry imegrow kulingana na demand. Demand imetokana na vitu viwili. Bad publicity on Kenya's security na a growing middle class in Kenya that is looking for a place to spend. Hata hapa domestic tourism na air travel zimegrow kutokana na the middle class. Kwanza government official like Balala is not someone to cite in your argument. He's the same guy fighting Palm Exotica in Watamu an itainua hospitality industry ya huko. Nyie hapa ndio hamtaki unity EA ndiposa hamtaki single tourist VISA which was proposed by Kenya
 
Nyie hapa ndio hamtaki unity EA ndiposa hamtaki single tourist VISA which was proposed by Kenya
Mnataka unity na wakati wenyewe kwa wenyewe mmeshindwa kuungana na kupendana kutokana na kuendekeza ukabila 😂😂😂
Hivi si nyie ndio mlikataa kuungana kutetea nchi zingine kipindi cha ukoloni matokeo yake mkaungana na wazungu kuzikandamiza nchi zingine za Africa 😂😂😂 cha ajabu mnataka unity saa hii baada ya kuona mambo sio yenyewe.
 
Shida moja nyie huongea nikama hakuna kitu kinaendelea hapa Kenya. Kuimba mwakani kila mara nyie mko na idea kuna project ngapi ziko on progress Kenya? nyinyi naona upanuzi wa bara bara na slaughter house ni breaking news. Na pia corruption si kitu ambacho unaeza ondoa virahisi kwa democrasia changa. nenda Singapore utapata corruption hadi kwa ofisi ya PM. Na usidhani mtamaliza corruption anytime soon. Hivi hata mkiimba natural gas na madini haina impact kubwa kwenye economy yenu. Nenda katafute data
 
😀😀😀😀😀👇👇👇👇
 
nadhan the biggest win ni hela ziwepo na mradi uanze.. kweny hili swala.. kenya na tanzania tunapigana vita sana.. viongozi wetu walijue hili.. tusifarijike na mkataba wa makubaliano tu.. twende mbele kuanza mradi
Third phase inasainiwa soon!
 
They only focus on the negatives bila kujua uhalisia wa hizo news. Hiyo most corrupt country na most dangerous city hosts nearly all regional HQs za multinationals na NGOs. Global HQ ya UNEP, second biggest office ya World Bank after Washington DC, second biggest bureau ya BBC after London, Coca Cola EA, Bank of China African HQ, CCTV Africa, Startimes, Cicso, Avic ambayo imewajengea ile gated community wanajigamba nayo, Heineken, Toyota, Xinhua, Qualcomm sub saharan Africa (processors for iPhone na Huawei), red cross, Nokia research centre (only three in the world), Microsoft testing lab teh list goes on. When we tell you guys you have a long way to go, msibishane
 
Hamujasaidia kununua ilikua ni lazma mununue kwasababu ya bei ndogo na quality
Quality ipi, your foods are not even fortified. We are even encouraging you to improve on quality so we can import. For the sake of brotherhood na nyinyi hapa kupiga kifua. You guys cannot compete on a fair platform
 
Quality ipi, your foods are not even fortified. We are even encouraging you to improve on quality so we can import. For the sake of brotherhood na nyinyi hapa kupiga kifua. You guys cannot compete on a fair platform
Ahahhaha yani muna ujinga sana nyie bado njaa inawakamua alaf munajifanya wababe😀😀😀
 
So ulizotaja zimewasaidia nn nyinyi je zimepunguza unemplyments rate??? 😀😀😀 zimewaletea ugali???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…