joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Jameni watu huuwawa kila nchi. Lakini bado watalii wanakuja, bado air traffic yetu iko juu. The only thing terror has done to this country is to push some tourists in your country ndio mpate hiyo $500m juu yetu. Ndiposa mko busy kusupport hilo kundi la Al Shabaab
Hivi aliyeandaa list ya nchi hatari zaidi duniani ni CCM?, kweli mumechanganyikiwa.Is this what sisiemu has been feeding you lately? [emoji23]
Bila kusahau kwamba,He's talking about "nchi hatari ya kuishi" yet we host the largest number of expats in the continent. He doesn't even know that Kenya hosts the biggest refugee camp in the world. He says all that forgetting that Kenya is the entry point in this region, hosting the continent's fourth busiest airport. He even forgets that tens of multinational companies have chosen "this dangerous country to live in" as their African or regional headquarter. Kweli sisiemu inawalipa vizuri
Jameni watu huuwawa kila nchi. Lakini bado watalii wanakuja, bado air traffic yetu iko juu. The only thing terror has done to this country is to push some tourists in your country ndio mpate hiyo $500m juu yetu. Ndiposa mko busy kusupport hilo kundi la Al Shabaab
Congo Burundi na Rwanda tayar bado Uganda tumalize biashara [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1284512
Na hilo ni pigo kubwa sana tena sana na mwaka huu tutegemee zaidi mwaka huu tunaeza fika 2.6b usdKenya tourism revenue $1.5B
Tanzania $2.4B
Difference = $900M
Hahahaha
Bro yani kwa Tanzania hawana mjanja kwasababu ndio njia pekee rahisi sana na salama kwa hzo nchi yani kwa hilo mm sina shaka na kwa huyu mwambia watanyooka hawa๐๐๐nadhan the biggest win ni hela ziwepo na mradi uanze.. kweny hili swala.. kenya na tanzania tunapigana vita sana.. viongozi wetu walijue hili.. tusifarijike na mkataba wa makubaliano tu.. twende mbele kuanza mradi
Baba J baba lao. Anatesa wakenya huyu mzee jamani.......Pongezi sana kwa Tanzania kwenye maswala ya usafiri wa reli. Inabidi tuwaonyeshe hawa watu who runs this.Congo Burundi na Rwanda tayar bado Uganda tumalize biashara ๐๐๐๐๐View attachment 1284512
Wamekwisha mbona hawa๐๐๐ wanasubiria kupigwa denda tuBaba J baba lao. Anatesa wakenya huyu mzee jamani.......Pongezi sana kwa Tanzania kwenye maswala ya usafiri wa reli. Inabidi tuwaonyeshe hawa watu who runs this.
Wamekwisha mbona hawa[emoji3][emoji3][emoji3] wanasubiria kupigwa denda tu
Bila kusahau kwamba,
1) Kenya hosts biggest slums in the World
2)Kenya tops Africa in police brutality
3)Kenya is among top three in crime
4)Among top three in terrorism
5)Top Africa in tribalism
6)Top Africa in unemployment rate
7)The most ruthless economy in Africa