Jameni watu huuwawa kila nchi. Lakini bado watalii wanakuja, bado air traffic yetu iko juu. The only thing terror has done to this country is to push some tourists in your country ndio mpate hiyo $500m juu yetu. Ndiposa mko busy kusupport hilo kundi la Al ShabaabSasa mbona huko kenya foreigners wanauwawa Mara kwa mara πππ
Sasa mbona mumewekwa kundi la nchi hatari zaidi kuishi na kutembelea πππ
Is this what sisiemu has been feeding you lately? πSasa mbona huko kenya foreigners wanauwawa Mara kwa mara πππ
Sasa mbona mumewekwa kundi la nchi hatari zaidi kuishi na kutembelea πππ
Hahaha pitia kwenye hii forum uone namna wakenya wenzako wanavyoleta news za Tz humu,Show me even by screenshot. Nyinyi mnaamka Na news za Kenya mnalala na news za Kenya. Hata saa hii kuna moja wenu ashaleta tweet ya news channel ya Kenya about that likoni tragedy a few minutes ago
Hapana hii hapa πππIs this what sisiemu has been feeding you lately? π
He's talking about "nchi hatari ya kuishi" yet we host the largest number of expats in the continent. He doesn't even know that Kenya hosts the biggest refugee camp in the world. He says all that forgetting that Kenya is the entry point in this region, hosting the continent's fourth busiest airport. He even forgets that tens of multinational companies have chosen "this dangerous country to live in" as their African or regional headquarter. Kweli sisiemu inawalipa vizuriJameni watu huuwawa kila nchi. Lakini bado watalii wanakuja, bado air traffic yetu iko juu. The only thing terror has done to this country is to push some tourists in your country ndio mpate hiyo $500m juu yetu. Ndiposa mko busy kusupport hilo kundi la Al Shabaab
Jameni watu huuwawa kila nchi. Lakini bado watalii wanakuja, bado air traffic yetu iko juu. The only thing terror has done to this country is to push some tourists in your country ndio mpate hiyo $500m juu yetu. Ndiposa mko busy kusupport hilo kundi la Al Shabaab
[emoji23][emoji23][emoji23] yanafanya orientation [emoji23][emoji23] u made my day
Subiri mwakani mtalia zaidi hapo tu unalia na mwakani badoni akili huna ama vipi kaka? Hapa naona ni waTz wanashare post za kutoka Kenya na si waKenya. Umeenda kwa hiyo forum ya Kenya ukaona wakidiscuss Tz lately? na kama wanadiscuss am sure it's just pointing out something good. Lakini nyie udaku tu kama busybodies wa mtaa. Fact ni kuwa Tz still has ages to reach mahali tuko. Hizo vitu mnaleta hapa it's an insignificant part of Kenya or Nairobi. Mkiona tunacomplain ni kwa kuwa we are pushing our leaders to deliver even more. That's what a healthy democracy does. Si kama nyie hapa hamuezi criticize government ila kusifu tu kama kondoo
Have you seen a Kenyan here posting news from a news channel from Tanzania? You will never see. But how many times in a day do Tanzanians share tweets or facebook posts za media houses za Kenya? What does that tell you? Nyinyi hapa mnajua hadi magavana wa Kenya and their deputies wakati mimi hapa I don't even know the name of your vice president!
Unamkumbuka huyu mchawi βCOW"Shida moja na waTz ni chuki kwa foreigners ambayao haina msingi. Kenya is by far the friendliest country in this region. We accommodate every country bila pressure. But huko kwenu, am sure the first question JPM huuliza akiamka ni Kenya kunaendelea aje? kisha tutacompete nao vipi? ama tutawafungia vipi? hapa sisi kama kitu iko sawa we take it and force locals to catch up. While it might sometimes kill our local industries, we understand that innovation stems from such competition.
Km hujui jna la our vice president it's non of our business ni upumbavu wako cc waTz ni very curious we want to know more na ndio maana tunapga hatua kila kukicha kwasabu tunafaam ya kwetu na ya jirani zetuHave you seen a Kenyan here posting news from a news channel from Tanzania? You will never see. But how many times in a day do Tanzanians share tweets or facebook posts za media houses za Kenya? What does that tell you? Nyinyi hapa mnajua hadi magavana wa Kenya and their deputies wakati mimi hapa I don't even know the name of your vice president!
we jamaa hivi ni mlevi wa chang'aa..? au unajifurahisha tu..uajua kweli unachokizungumza?[emoji110][emoji11][emoji16][emoji6][emoji6][emoji23][emoji44]wanafungua kwa kuwa mmewakera na misinformation na ignorance. But mostly no one bothers
Wajinga sana hawa jamaa πππHivi kwanini hizi nyani za Kenya aziamini kuwa ni fukara sana,yaani wewe unaishi Kwa mavi ya slum kisha unashangaa kwanini unaitwa fukara hadi unaitisha upewe link ili uthibitishe ufukara wako
Tulikataa kumuunga mkono Amina Mohamedi kwasababu kulikuwepo na "Candidate" kutoka SADC countries. SADC first.Hawa majamaa huoni wanafuatilia news za Kenya nikama hakuna kazi nyingine. They find satisfaction wakiona some negative thing ndio wacompare na shida zao. They can't run their own race. Wako hapa wakiangalia nini tunafanya ili wacopy paste ama kuharibu. Hukumbuki hawa ndio walikuwa wamekataa ku endorse Amina Mohammmed for AU chair na saizo hawakuwa na candidate. Mi mwenyewe nimelike tu news handle ya kampuni moja Kenya na sikumbuki niliona news za T.V siku gani mwisho. Nashangaa kuona Mtanganyika akifuatilia news za hapa nikama zinamhusu.
Hahahaha, inakera kwasababu mnazidiwa kwa kila kitu, ile habari ya biggest Airport, biggest stadium, best roads, best president, best Hospitals, best, best, best, sasa hivi ni historia, ndio sababu "You are very sensitive and irritable. Hatutoacha kuwacharaza bakora.sana, na inakera. People should run their own race