Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehe..the corrugated swahili hovels
Achana na huyo kilaza wa bongo. Anakubali kwamba Dar kuna mito and at the same time anakataa eti hizo mito hazina mamba. Kwani mama siku hizo wanaishi ndani ya visima?
 
Please post the numbers you handle puga.....2.4 million.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]JKIA 8 million......
Huo uwanja ni bora Afrika mashariki na kati yote pia nchi nyng za Afrika hazina uwanja bora km huo lkn pia ata baadhi ya nchi za Asia na ulaya hazina uwanja bora km huo
 
Achana na huyo kilaza wa bongo. Anakubali kwamba Dar kuna mito and at the same time anakataa eti hizo mito hazina mamba. Kwani mama siku hizo wanaishi ndani ya visima?
Ni wa kupuuzwa tu hyo
 
sis tunawaletea mafuriko ya sehem mbalimbali, wao wanaleta ya jangwani tu.[emoji23]
Jangwani nyingine ndio hii. Kumbe hata zile three blue towers pia ziko jangwani! 😂 😂 😂
 

Attachments

  • _DSC0507.JPG
    41.3 KB · Views: 20
Hii city haina majengo marefu hua mnatoa wapi nguvu ya kusema Dar inamajengo mafupi?
That's Lang'ata, a residential area. We know how your residential areas look like. The infamous dream houses that you love so much and are proud of 😂 😂 😂 😂
 
Wakenya mnaocheka mafuliko dar jipangeni mwakani siyo mbali cheki mifumo mipya tunayo jenga kwenye barabara zetu
Hizi ni vitu tulifanya almost two decades ago. Nyinyi ndio mnaanza leo na unapiga kelele!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…