Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ingien twitter afu tafuta/search hashtag #ArrestSonko muone maajabu
View attachment 1280785
wakenya wanatia haibu kwa kweli,,,yaani kuna vitu ni vyaajabu sana how mpaka maji yanaingia kwenye market ,mahospitalini hivi hawa jamaa wanaokuja kutamba hapa kuwa wapo bora kimiundombinu inamaana huu ndiyo ubora.....
mkuu hawa wakenya ni stupud sana[emoji23][emoji23][emoji16]
 
Danganyikans think they live in heaven. They are so quick to poke fingers in Nairobi affairs forgetting they have even bigger problems in their glorified fishing village that has even crocodiles in the cbd. Very funny creatures
 
Nenda katoe mamba wako pale posta, inahatarisha maisha ya wadanganyika wenzako
 
Ccm has done permanent damage to their heads to even see flaws in their country....
They are patriotic but to a stupid fault....
Danganyikans think they live in heaven. They are so quick to poke fingers in Nairobi affairs forgetting they have even bigger problems in their glorified fishing village that has even crocodiles in the cbd. Very funny creatures
 
Kwa hivyo Dar imejengwa ndani ya Indian Ocean? And where did you learn that Crocs live in oceans?
Ndio utuambie hiyo photoshop umeiokota wapi na utuambie kama india ocean kuna crocodile siku hizi au kuna mto gani Dar wenye crocodile,
Alafu unajua chanzo za hizo picha za mafuriko Nairobi kuletwa humu?
Miezi michache iliyopita mvua iliponyeesha Dar mlifungua nyuzi kibao humu mkisema eti miundombinu ya Dar ni mibovu 😂😂😂 mkasahau kuwa mvua bado haijanyeesha Nairobi 😂😂😂
 
Ccm has done permanent damage to their heads to even see flaws in their country....
They are patriotic but to a stupid fault....
That's blind patriotism. You can't be so quick to judge others while you have even a much bigger problems on your shoulders. Sisiemu imewapumbaza sana
 
I thought you were clever enough when you brought this topic. First, Dar is not built in the middle of the ocean. Secondly, Crocs don't survive in salty waters like oceans but that does not mean mamba hazipatikani in areas surrounding the ocean. Crocs live in rivers (and there are so many rivers in Dar where these reptiles call home). In my entire life, I have never seen or heard of a salty river. So unless you want to tell us that Dar has no rivers (or they are salty) then I will engage you further but if you've resorted to using words like photoshop, then continue licking your wounds
 
Vipi kuhusu mamba mkuu..mmeshawadhibiti
 
Nairobi huaga barabara hazifungwi km hko kwenu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…