Mm kwangu tweet naiona kama TV ya black and white yani siielewagi ngoja nijaribuIngia search tab ya twitter pale utakuta trending list Tanzania ipo then humo humo utakuta kila kitu ambacho Tanzania iko mentioned [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Mm kwangu tweet naiona kama TV ya black and white yani siielewagi ngoja nijaribu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1279666
Vipi umekumbuka kupiga picha ya slum za dar maana mnasema dar ni slum tupu ,mkija dar mtapiga picha sasa wewe umesema umekuja dar tuonyeshe slumSio siri airport mpya ni kali,was there over the weekend but the city is shit
Bwahahaaaa.....usijali nitapiga nikutumie nikuridhishe jomba langu[emoji1787][emoji1787]Piga picha risiti uliyonunulia kama kweli ya kwako
Yah Samsung iko poa iPhone masharti mingi mingiIphone nilitumia na sai naitumia km toy, sikuwai ipenda kabisa...zilikua shobo tu...
Sai niko na samsung yangu tu..
Hiyo nini!!!?? Bwaaaaahhhh[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1279666
Tz media is very idle. Hua haireport kitu chochote kazi ni kusifia tuuOhh sisi tuna barabara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Brt yetu ni concreteConcrete road Nairobi_Nakuru highwayView attachment 1279622View attachment 1279623
lakini nayo haina watu kwani watanzania mnaogopa ndege ama hamna pesa
Sababu ya kutumia gharama kubwa kuweka zege ni nini? Nikiangalia hali ya hewa ya hapo sioni utofauti mkubwa wa jotoridi kwa vipindi vyote vya mwaka.Concrete road Nairobi_Nakuru highway
Sio siri airport mpya ni kali,was there over the weekend but the city is shit
Unaona mkenya mwenzako alichosema ? Sasa kaja dar tunamtaka atuletee picha za slum mlizokuwa mnasema, na kuhusu airport mjue kuanzia leo ubishi tumefunga tena hapo airport tunampango wa kujenga hoteli kabambe ya airport very soonKwn mwakani mnazindua expreesways ngapi[emoji1787][emoji1787]
Naomba link ya hii video.Ayo anajitahidi sana kutuletea picha za miji yetu. By the way kwenye maswala ya usafiri DSM ilishadominate tokea enzi za Ukoloni. Karibuni Majirani mjionee picha bila filter
Airport gani hyo..sema ile terminal III jomba...Unaona mkenya mwenzako alichosema ? Sasa kaja dar tunamtaka atuletee picha za slum mlizokuwa mnasema, na kuhusu airport mjue kuanzia leo ubishi tumefunga tena hapo airport tunampango wa kujenga hoteli kabambe ya airport very soon
Ina haja gani nitumie kitu ambacho hakiniridhishi...Yah Samsung iko poa iPhone masharti mingi mingi
SawaBrt yetu ni concrete
Ni barabara inayotumika na very heavy trucks na nkwa mlima ukielekea limuruSababu ya kutumia gharama kubwa kuweka zege ni nini? Nikiangalia hali ya hewa ya hapo sioni utofauti mkubwa wa jotoridi kwa vipindi vyote vya mwaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tukitaka vichekesho hv tubonyeze wp mods?Airport gani hyo..sema ile terminal III jomba...
Kwngine kwote ni maajabu, kuhusu jkia usijali kile kitu kitakachokuja kujengwa hamatoamini