Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Songwe international Airport, radar installation.


KQ get prepared to pay a navigation fee while flying over Tanzanian airspace to Southern Africa! It will the most beautiful thing considering each KQ flight to SA means bingo to TCAA!
 
Tuwasamehe bure wakenya kundule walikuwa hawajaliona 😂
 
Hivi kwa nini Wakenya wanateseka sana juu ya kuendelea kwa Tanzania?!!!.
Ukifikiria sana utaona Tanzania ni unstoppable!!!kuanzia Geographic position, ardhi yenye rutuba, madini,vivutio vya utalii,idadi ya watu tulichokuwa tunahitaji ni uongozi bora tu.Haya maswala ya maghorofa na miundo mbinu ni peanut tu, ukiwa na resources za kutosha na ukazitengenezea mazingira bora unaeza amua hata kujenga mji mpya wa kisasa na ukaumaliza wote.
 
Kama tunavyo jenga Dodoma.. hivi leo Kenya walivyo kuwa dhoofu ilhali unafikiri wanaweza ata kuwaza swala hilo, wanabaki kuongea tu vitu vidogo vidogo kama konza city, sijui silicon savannah ukienda ground vitu vipo ndani ya sqm 2000 kama plot yangu tu [emoji38].
 
Nyie mna unyani mwingi sana yaani unaona raha kuishi hostel....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…