Even their so-called posh estates have uswazi elements in them. Look at the aerial photo of Mikocheni below (one of their best estates). Then you wonder how they even start comparing such estates with Muthaiga or Runda. Hii hapa hata Lang'ata inashinda mbali tena sana
View attachment 1272966
Wewe unamatatizo ya akili bila shaka😀😀Even their so-called posh estates have uswazi elements in them. Look at the aerial photo of Mikocheni below (one of their best estates). Then you wonder how they even start comparing such estates with Muthaiga or Runda. Hii hapa hata Lang'ata inashinda mbali tena sana
View attachment 1272966
Wanasemanga eti Google earth inaonyesha images za ten years ago. Very stupid people!Nowadays Google earth inaonyesha live live.....hehe
Bwahahaaa!!unafikiria muthaiga ni km masaki mpka akina amber rutty wakijiskia wanaenda[emoji1787][emoji1787]
Airport ya Arusha inaongezwa run way na jengo la abiria. Tayari funds iko allocated ni kuanza tu. By mid next year tayari Arusha watakuwa na international airport. Zitapangana, KIA, Arusha na Serengeti.Siku ikijengwa terminal yenye kuchukua watu milion 5 hivi + cargo kwenye airport ya Arusha basi Nairobi haitakua na chake. Halafu sijui kwa nini Magu hajaona hili. Unajua Tukiweka Airport Arusha itakayopambana na Nairobi + SGR ya Tanga - A town battle inakua imeisha!
Ahahahah kijana unateseka sana najua umeingia google ukasearch mikocheni ukaingia kwe images ukapata vipicha vya nyumba za watu zinazopangishwa ama kuuzwa, bro hiyo sio mikocheni hzo ni baadhi ya nyumba tu za watu wa level ya kawaida waliopo mikocheni.Hii ndio Mikocheni unasema ni bora kuliko Runda, Karen Na Muthaiga ama kuna Mikocheni mbili Dar? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unafaa upimwe akili
View attachment 1272946View attachment 1272947View attachment 1272951View attachment 1272952View attachment 1272953View attachment 1272954View attachment 1272956View attachment 1272959
Watanzania wenzangu hii ndo muthaiga ya wakenya wenye hali ya juu [emoji23][emoji23][emoji23] inayoizidi masaki.Wanasemanga eti Google earth inaonyesha images za ten years ago. Very stupid people!
Sio vibaya kuwa mzalendo ila kitu mbaya ni uvutaji wa bangi. Masaki ndio hii hapa imejaa apartments kushoto kulia. Ukipata apartments Muthaiga, Runda ama Karen, Rudi tuongee. Hii Pengine mlinganishe na Lavington ama KileleshwaAhahahah kijana unateseka sana najua umeingia google ukasearch mikocheni ukaingia kwe images ukapata vipicha vya nyumba za watu zinazopangishwa ama kuuzwa, bro hiyo sio mikocheni hzo ni baadhi ya nyumba tu za watu wa level ya kawaida waliopo mikocheni.
Eti hii ndo Muithagi ya kufananisha na masaki jamani,? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata magala inapga chini hii uchafuView attachment 1272995View attachment 1273004View attachment 1272999View attachment 1273002
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania wenzangu hii ndo muthaiga ya wakenya wenye hali ya juu [emoji23][emoji23][emoji23] inayoizidi masaki.
Kwakwel bora waishi kwe zile hostel zao mana hawana uwezo wa kujenga. Hizi nyumba za uswazi Tz, kwao ndo kwa watu wazitoView attachment 1273015View attachment 1273016View attachment 1273017
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asante sana kw kujipa matumaini...Ahahaha kwahyo huko muithaiga ni kwa wazungu na viongozi wa serikal normal people hamuwez enda? Duh nilikua sifaham kama kenya kuna matabaka hvyo. By the way hapa east africa hakuna sehem luxurious kama masaki, mayb zanzibar, kenya hupati sehem kama masaki utapata sehem za mbezi beach kenya ila sio masaki wala oysterbay
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii ndio mikocheni, maskiniHii ndio Mikocheni unasema ni bora kuliko Runda, Karen Na Muthaiga ama kuna Mikocheni mbili Dar? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unafaa upimwe akili
View attachment 1272946View attachment 1272947View attachment 1272951View attachment 1272952View attachment 1272953View attachment 1272954View attachment 1272956View attachment 1272959
Umeona appartment hapo?Ahahahah kijana unateseka sana najua umeingia google ukasearch mikocheni ukaingia kwe images ukapata vipicha vya nyumba za watu zinazopangishwa ama kuuzwa, bro hiyo sio mikocheni hzo ni baadhi ya nyumba tu za watu wa level ya kawaida waliopo mikocheni.
Eti hii ndo Muithagi ya kufananisha na masaki jamani,? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata magala inapga chini hii uchafuView attachment 1272995View attachment 1273004View attachment 1272999View attachment 1273002
Ukipata appartment nitag[emoji1787][emoji1787]Watanzania wenzangu hii ndo muthaiga ya wakenya wenye hali ya juu [emoji23][emoji23][emoji23] inayoizidi masaki.
Kwakwel bora waishi kwe zile hostel zao mana hawana uwezo wa kujenga. Hizi nyumba za uswazi Tz, kwao ndo kwa watu wazitoView attachment 1273015View attachment 1273016View attachment 1273017
Nyie posh places zenu waafrika hawakanyagi, labda kufagia barabara na kufanya kazi za ndani.Ukipata appartment nitag[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] sas mzee hyo si mombasa, we jua ndani ya Dar kuna Mombasa Sita.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asante sana kw kujipa matumaini...
Appartments kibao[emoji3]
Picha uliyotuma si inakaa hv[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1273047
Ni wazungu tu na waindi ndo wanakaa huko muthaiga hamna locals yeye mwenyew kasemaNyie posh places zenu waafrika hawakanyagi, labda kufagia barabara na kufanya kazi za ndani.
View attachment 1273051