Zoom wewe unionyeshe hyo mijengo hapa...Zoom hyo tuletee picha kwa ground then nioneshe slum mzee baba, mim nitakuletea zenu kwa ground uone the difference
Huna akili wewe nairobi ina kipi cha maana zaidi ya slums kila konaIla wabongo tunakua kama machizi, dodoma ni mji unaotegemewa kuwa mkubwa siku za mbelen ila kwa sasa hata kwa Arusha haujasogea. Kuanza kufananisha dodoma na nairobi ni matusi. Yan mnataka tuonekane hatuna akili
Daily wanakomaa na KICC[emoji23][emoji23]Wakenya mbona huwa hampost bus stage zenu na masoko ya wananchi wenu fanyeni kupost tuone mazee[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kwanini hawapendi kupostDaily wanakomaa na KICC[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Daily wanakomaa na KICC[emoji23][emoji23]
Hakuna anaekudanganya hapa mzee baba, mmepewa video nyingi za hayo maeneo ambayo mkioneshwa juu mnalia ni slums, tumewapa picha nyingi za ground kuwaonesha kila kitu kwa chini ila nyie mnapgania mapaa ya watu. Mlileta jangwani ya zamani tukawapa mpya, kijito nyama tukawapa mpya, kijichi tukawapa mpya, we elewa tu hakuna slum dar, hyo unplanned setromenti ni mbaya kwa angani tu ila ukitua chini utatamani usisepe ndo mana wakenya wenzenu wanafurika hutu kila siku kula maisha nyie mnaachwa kibera kujitutumua kwa keyboardZoom wewe unionyeshe hyo mijengo hapa...
Kwn aerial view umeskia ikuchuliwa mahali ya mikengo ya maana hata km haiko planned itakaa hvyo...
Endelea kujidangaya km hyo ni mijengo ya watanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti hku kila mtu na mjengo wake, ukome kisha
Achana na miradi ya bei rahisi iyo ata burundi wanaiweza ebu angalia miradi ya pesa apo chini inaytwaMji uliokomaa. Mnalia kila siku tunaweka Thika road na 2 rivers. Oneni mambo ya ulaya hapa on the other side of Nairobi
Wacha kutudanganya hapa, hamna hata nyumba moja iliyobomolewa hapo...Hakuna anaekudanganya hapa mzee baba, mmepewa video nyingi za hayo maeneo ambayo mkioneshwa juu mnalia ni slums, tumewapa picha nyingi za ground kuwaonesha kila kitu kwa chini ila nyie mnapgania mapaa ya watu. Mlileta jangwani ya zamani tukawapa mpya, kijito nyama tukawapa mpya, kijichi tukawapa mpya, we elewa tu hakuna slum dar, hyo unplanned setromenti ni mbaya kwa angani tu ila ukitua chini utatamani usisepe ndo mana wakenya wenzenu wanafurika hutu kila siku kula maisha nyie mnaachwa kibera kujitutumua kwa keyboard
Alaf inaonesha planners wenu hawawajali kabsa pedestrians pia umeonesha ka Mall ambako hakana ata mazingira rafiki parking mbovu ss ctak nikupeleke Dar we saiz yako hii apa[emoji116][emoji116][emoji116] Rock city Mall Mwanza [emoji23][emoji23][emoji23]Mji uliokomaa. Mnalia kila siku tunaweka Thika road na 2 rivers. Oneni mambo ya ulaya hapa on the other side of Nairobi
Rock city ndio mall kubwa tanzania galleria kenya hta top 10 haingii..sasa nani mjinga hapo[emoji1787]Alaf inaonesha planners wenu hawawajali kabsa pedestrians pia umeonesha ka Mall ambako hakana ata mazingira rafiki parking mbovu ss ctak nikupeleke Dar we saiz yako hii apa[emoji116][emoji116][emoji116] Rock city Mall Mwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli #TUMEAMUA# TUNATEKELEZA#
Tusibishane bure swali kwanini wakenya wakija tz tunawapeleka majumbani kwetu ila wao ukiwatembelea Kenya hawawezi kukupeleka wanapo ishi sababu ni moja wanaona aibu wakilinganisha makazi yetu watz na yakwao hivyo ukimwambia mkenya unataka kumtembelea kwake utaona anabadilika na kukunja uso sababu 75% ya wakenya Nairobi wanaishi Kwa slum huo ndiyo ukweliWacha kutudanganya hapa, hamna hata nyumba moja iliyobomolewa hapo...
why do you need pedestrian walkways on a highway? they have been provided where human traffic is high if you were really objective in your "analysis." Though am not surprised that you had to find a reason to hate. Trying to compare Galleria to Rock City, hata kama ni patriotism, ni madness. That Rock City is just an average mall and it can't even make it to Kenya's top 20 malls.Alaf inaonesha planners wenu hawawajali kabsa pedestrians pia umeonesha ka Mall ambako hakana ata mazingira rafiki parking mbovu ss ctak nikupeleke Dar we saiz yako hii apa[emoji116][emoji116][emoji116] Rock city Mall Mwanza [emoji23][emoji23][emoji23]