Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahah wakwapi wale wa LDC [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] miaka minne ya magu utasema miaka miaka 30 ya kenya Teargass Nicxie

Kuna mtu nilimwambia apa kuwa Tanzania haipaswi kuitwa LDC ni Google tu na makaratasi yao wameamua kuandika hvyo ili kujifurahisha nchi yenye BRT SGR barabara za juu barabara za chini mpk njia nane n.k haiwez kuwa LDC ni utoto kuamini hivyo
 
Hii batle sasa naona imeanza kufifia tumetoka kwenye mambo makubwa sasa tunarudi kwenye vitu vidogo vidogo hadi nyumba za polisi na umbea umekua mwingi.Kama vya kushindana vimeisha tufunge mjadala tufanye mambo mengine.Kuleta umbea wa akina sijui msigwa na wengine ni kushindwa vita.Bora hata tushindane mbinu bora za kilimo.Hahaha
 
hujaitwa hapa kajaze maji kondomu ubebe.
 
So ushamaliza kulia au badoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…