Niletee wet n wild ya nairobi ukipata nitagππππDar tumewaambia ipambane na Mombasa. They're both economically na geographically similar. Dar ni district moja ndogo sana ya Nairobi. Hizo gorofa nne ndizo zimewapatia hadhi kidogo lakini bado nyie na Mombasa hamjaachana.
[emoji1241][emoji1241]Subiri walete pond liliojaa mbu kutoka Uhuru ParkNiletee wet n wild ya nairobi ukipata nitag[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Narudia kukumbusha kua wet n wild ya dar ndio the largest water theme park with slides in east and central africa
Kunduchi Wet 'N' Wild Water Park | Dar es Salaam - Tanzania
Wet N Wild is one of the top 10 Dar es Salaam attractions and is the biggest water theme park in East and Central Africa. This is one of those few places, where one can spend an entire day with family and friends whilst having loads of entertainment and fun.www.wetnwild.co.tz
wajua ujinga ni kulinganisha miji miwili yenye haina anything similar. Hizo slides na maji naona kwenye malls zote hapa. Nairobi huku tuna mambo mengine kama ice skatting, bowling, go karting etc. Checkout Kenya's first ice hockey team at the Panari, NairobiNiletee wet n wild ya nairobi ukipata nitagππππ
Narudia kukumbusha kua wet n wild ya dar ndio the largest water theme park with slides in east and central africa
Kunduchi Wet 'N' Wild Water Park | Dar es Salaam - Tanzania
Wet N Wild is one of the top 10 Dar es Salaam attractions and is the biggest water theme park in East and Central Africa. This is one of those few places, where one can spend an entire day with family and friends whilst having loads of entertainment and fun.www.wetnwild.co.tz
Gerson kalishwa vidonge kwenye comment uko balaa, Wafanye kaz habar Za kusifiana mtu akitimiza wajibu wake ni kutokujitambua ,Hatutak maneno tunataka kaz
ujinga mko nayo ni mbaya sana, wataka tulete ocean Nairobi?[emoji1241][emoji1241]Subiri walete pond liliojaa mbu kutoka Uhuru Park
Kwa hoteli gani ukifkiri dar hakuna hotel kwanza niletee expensive luxury club kama hii kenya nzima ukipata nitagππππππTukianza hoteli za Nairobi mtaanza kulia hazina view ya beach. Lakini hapo my fiend bado. Mimi naona tukulipie fare utembee Nairobi utoe ignorance
Nbo inazidi Dar miti tu na ubaridiDar tumewaambia ipambane na Mombasa. They're both economically na geographically similar. Dar ni district moja ndogo sana ya Nairobi. Hizo gorofa nne ndizo zimewapatia hadhi kidogo lakini bado nyie na Mombasa hamjaachana.
Fun sport quality center darwajua ujinga ni kulinganisha miji miwili yenye haina anything similar. Hizo slides na maji naona kwenye malls zote hapa. Nairobi huku tuna mambo mengine kama ice skatting, bowling, go karting etc. Checkout Kenya's first ice hockey team at the Panari, Nairobi
View attachment 1265012
View attachment 1265013
So sliding na water theme park mpaka uwe na ocean ???πππππujinga mko nayo ni mbaya sana, wataka tulete ocean Nairobi?
This is the funniest shit ever. Mjinga ni wewe mwenyewe na hao kondoo wako. Unadhani bowling na ice skating venues Dar es salaam hakuna? Jamani, bowling? au hizi kwenu ni vitu vipya sana?wajua ujinga ni kulinganisha miji miwili yenye haina anything similar. Hizo slides na maji naona kwenye malls zote hapa. Nairobi huku tuna mambo mengine kama ice skatting, bowling, go karting etc. Checkout Kenya's first ice hockey team at the Panari, Nairobi
View attachment 1265012
View attachment 1265013
Kwa kifupi nairobi bado haijajengeka hakuna density ya maanaπππNbo inazidi Dar miti tu na ubaridi
Lol, hii imekaa kama Lux nightclub kwenye Lucifer kwa wale ambao wameshaangalia hiyo drama series.Kwa hoteli gani ukifkiri dar hakuna hotel kwanza niletee expensive luxury club kama hii kenya nzima ukipata nitagππππππ
Usije niletea zile uchafu za F2 au canivor
View attachment 1265001View attachment 1265002View attachment 1265003View attachment 1265005View attachment 1265006View attachment 1265007View attachment 1265014View attachment 1265015View attachment 1265016View attachment 1265017View attachment 1265018View attachment 1265019View attachment 1265020View attachment 1265021
View attachment 1265024
Kuna watu humu wanahitaji maombeziSo sliding na water theme park mpaka uwe na ocean ???πππππ
Wanajazana pori la Arboretum kupigana mikasi wakidai wameenda picnic. Pori linahost umalaya tuNbo inazidi Dar miti tu na ubaridi
una upuzi, sasa Theme park ni nini? very petty argument. Kitu haiezi garimu hata $2M unauliza hapa kama iko Nairobi? kama uko curious enda pale Google just search theme park Nairobi and you'll be surprised. Pelekeni huo ujinga huko MombasaSo sliding na water theme park mpaka uwe na ocean ???πππππ
Sikiliza Dexter Morgan, Hatulinganishi, tunashow off.Mzidi kulinganisha lakini reality is bado mko mbali saaana. Mine is to remind you things that you try to forget with silly questions and commets. Dar mji mzuri na iko na view fiti sana with something to admire especially kwa public transport, lakini kwa wealth and infrastructure bado. Jaribuni Mombasa kaka zetu.
View attachment 1265027View attachment 1265031
View attachment 1265035
View attachment 1265037View attachment 1265039
Na bado crane ziko juu
View attachment 1265040
View attachment 1265046
View attachment 1265045
View attachment 1265047
A new city coming up in Two Rivers,
View attachment 1265041
New developments behind Garden City coming up.
View attachment 1265034
Najua ni uchungu kuona Nairobi playing in the league of big boys despite Kenya lacking the natural resources, having a smaller ocean front and fewer landlocked neighbors that Tz has. It's a bitter pill to swallow but itabidi mzoee tu. Leteni picha za Kibra kwa wingi na corruption lakini reality won't change π π. Natumai likes na comments kutoka wenzako wa 255 zitakuridhisha. Enjoy your Sunday.Nbo inazidi Dar miti tu na ubaridi
Na siyo bank pekee yaani kila kitu kilichopo Kenya 89% si za Wakenya, yaani wakenya ni kama wakimbizi tu.Nicxie the question was
Any thriving bank in Kenyan not any Kenyan bank
Any thriving communication company in Kenya not any Kenyan com company
Beautiful and great progress lakini bado, miles apart bro. Mbona render tena?Sikiliza Dexter Morgan, Hatulinganishi, tunashow off.View attachment 1265050View attachment 1265051View attachment 1265052View attachment 1265054
View attachment 1265048
Halafu hiyo two rivers itakuwa kama child's play huyu mdudu akikamilika pale ubungo, yaani hapatatosha humu
View attachment 1265055